Hamuweiz kuipa kampuni hizo zinakuwa ni hisa ambazo hazijawa assigned mtu subscribed.Swali ni mnaziacha ili nini?Kama hakuna sababu ya kuziacha basi mnagawana tu zote kwa pamoja maana unapoziacha bila sababu ni matumizi mabaya ya hisa.Kwa kampuni za umma Public Company unaweza ziacha iwapo una mpango wa kuziweka katika soko la hisa zinunuliwe ila kwa kampuni binafsi hakuna sababu ya msingi unless kuwe na ulazima.Mkuu umetupa kitu cha maana sana leo! Asante sana.
Naomba kuuliza swali, hivi let’s say umefungua kampuni directors mpo wawili mkaamua kugawa capita shares kwa % lakin katika mafungu matatu yaan each Director akachukua 40% halafu 20% iliyobaki mkaipa kampuni.sasa swali langu nikwamba nini faida/advantages ya hii 20% kwa Directors?
Mkuu karibu;Nakutafuta soon boss hongera sana upo vizuri na umegusa sehemu zangu husika
Mkuu wala usiwe na shaka kuhusu uaminifu.Huwa ninaamini kwamba unapoamua kufanya kazi na watu hasa katika zama hizi za digitali TRUST is the KEY.Nimefanya kazi na watu kadhaa kutoka katika Mikoa ya Dodoma,Mwanza.Arusha,Mbeya.Iringa,Dar es Salaam,Geita,Shinyanga,Moshi na Tanga.Jambo nililojifunza katika hayo yote ni kwamba UAMINIFU wangu ulifanya nipate References za watu ambao hata hawajausoma huu uzi.PS.Ninapozungumzia uaminifu wangu sizungumzi kama INdividual bali nazungumza kama TIMU kwani kunapokuwa na workload kubwa huwa inabidi nipate na wataalamu wengine tufanye kazi pamoja kwani kwa idadi ya huduma tunazotoa na complexity yake kazi yetu inahitaji utulivu mkubwa,umakini mkubwa.nimekukubali sana mkuu uko vizuri kwenye marketing,kama kwenye huduma unafanya kwa uaminifu basi utafika mbali. nimechukua namba yako nitakutafuta mkuu nina mpango wa kusajiri upya kampuni ya ulinzi, ya awali nilisajiri jina la biashara ilikua muda kidogo by 2011.
Taifa letu Lina matatizo ya kuwa na watu wasiojua maesabu. Hata wasomi wengi ni mbumbu katika maesabu. Kwa iyo watu wote hawawezi kujua ivyo. Tukija katika soko la HISA na kwenyewe kuna wahuni hawatoi HESABU inayoakisi ukweli, kwa iyo inafanya watu wasitake kuingia uko kwenye HISA. Mfano mzuri VODACOM, kampuni kubwa lakini hawatoi GAWIO, na mfano mwingine ni hawa NICOL, hawajatoa GAWIO zaidi ya Miaka 20+. Sasa apa soko la wahuni litamfanya Nani aingie.Kwanini threads nzuri za kujenga kama hizi hazisomwi sana, na reply zake huwa chache sana, shukrani sana kwa elimu hii kuna kitu nimepata