Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Tuwaaminije hao waliondika kitabu wakati na wao ni wapinzani wa dini ya catholic?.kwanini ww unawaaamini tuanzie hapo kwanza.
Ndani ya Jesuist lilianzishwa shirika la Kukusanya na kuchabua taarifa mbalimbali/shirika la kijasusi linaloitwa Santa alleanza (holy alliance) au LeEntita. shirika hili lilianzishwa na Papa Pius V mwaka 1566 kauli mbiu yake ni Cum cruce et gradio wakiwa na maana ya "kwa upanga na msalaba", kazi yake ni kukusanya na kuchambua taarifa mbalimbali zihusuzo waumini,imani,siasa,teknolojia,karibia kila nyanja wapo. wanakila taarifa ya muumini wao kupitia usajili unaofanya wakati unabatizwa lakini pia kazi yao ya kukusanya taarifa inafanywa kwa weredi na urahisi zaidi maana wanakusanya taarifa kupitia jumuia ndogondogo za kikristo.

ikumbukwe Ignatus luyola hadi anakufa hakuwahi kua padri ila ni mapenzi yake juu ya imani ya kikaktoliki ndio ilifanya akafanya haya, alitamani kuona imani ya kikristo inakua na kua imara zaidi duniani mpaka ukamilifu wa dahari. pongezi za dhati zimwendee kwa kujitoa kwake....
 
Mkuu shida ya makanisa mengi hawasomi hawachimbui historia hawataki kujua sources mbalimbali. Catholic kwenye Theolojia wamewaacha mbali sana
 
SALUTE

Maisha ni safari ndefu yenye mabonde na mashimo tu Yenye matumaini tu huku raha zikiwa chache mateso na taabu yamejaa! Kuna mambo yanaweza au yanatokea kwenye maisha yako hadi ukabaki unashanga. Yaani jambo fulani baya au zuri linakufata wewe tu kila siku hadi unajiuliza Why me?

Mfano uko mtaani kila tukio baya likitokea basi unahusishwa, unaweza kuta yaani wewe kila mwanaume anayekufata ni ni wa aina fulani usiyoipenda, labda mwizi, muhuni, mweusi, mfupi, mjinga nk.

Kwa upande wa wanaume nadhani hii inawatokea sana utasikia kabisa mtu anasema "Aisee mimi nina bahati na wanawake weupe/walimu/manesi/wanawake washamba nk nk. Yote haya ni maisha yetu ya kila siku ya sisi wanadamu, wengi hatuelewi kwanini hii inatokea hivi lakini ni vitu ambavyo vinahusiana na mambo ya kiroha na Kiasili (nature).

Lakini hadi mtu yanamtokea mambo haya bila yeye mwenyewe kujua hua nini kinafanyika? Hapa nitaenda kuelezea zaidi jinsi mambo mabaya yanavyokua yanaambatana nasi pasipo sie kupenda. Ili nieleweke vizuri nitatumia terminologies za kwenye mambo ya teknoloji.

Kwenye Computer Processors kuna kitu kinaitwa Caches, hii ni sehemu ambapo ukifinya kitu fulani kwenye computer basi kile kitu kinahifadhiwa huko ndani ili ukitaka kukitumia tena basi kinafanyiwa kazi kwa haraka zaidi. Pia kuna kitu kingine kinaitwa HTTP Cookie hizi zinafahamika pia kama Web cookie, browser cookie, internet cookie. Hizi ni data ndogondogo ambazo huchukuliwa kwenye web, internet, browser n.k na kuhifadhiwa kwenye Computer wakati mtumiaji yuko anaperuzi. Kazi yake ni kurekodi mambo yote ambayo mtumiaji (user) anayafanya kwenye internet mfano. Zinarekodi Password, page ipi umetembelea, Majina, nk. Hayo yote yanakusaidia wewe mtumiaji wa internet utakapotaka kuperuzi mitandaoni basi iwe rahisi kutumia.

Kwa upande wa Google huko wao wana project yao wanaita Hummingbird, hii ni alogarithm ambayo inafanya kazi ya kumwezesha mtumiaji wa huduma za google (Hasa YouTube na Google as Search engine) kupata huduma hizo kwa urahisi na kwa haraka...wanasema Google inakujua kuliko mama yako mzazi, Ni kweli.

Unapotafuta kitu Google chochote Hummingbird inarekodi kila kitu baadae ukitaka kuitumia tena inakuletea vitu kama vile ulivyotafuta mwanzo. Ndio maana ukitafuta kitu fulani YouTube ukaangalia ukamaliza labda ukatoka huko baadae ukirudi tena youtube utakuta video mbalimbali zinazoshabihiana na zile ulizoangalia mwanzo.

Yes kwakua Google wanakua washajua ni vitu gani unapendelea ili usisumbuke kuandika wanakuletea hapo kwenye homepage as suggestion posts.

Sasa turudi kwenye mada kuu, mada yetu inahusu kwanini mambo fulani (upande wa ubaya) yanaweza kua yanakufata wewe tu!. Kwenye moja ya post zangu zilizopita nilieleza kua Roho ya binaadamu ndio inabeba taarifa ya kila kitu kukuhusu wewe, so nikachukulia kwamba Roho ya binaadamu ni kama BIOS CHIP (ROM) iliyopo kwenye Motherboard ya Computer halafu mwili wetu ni kama kasha la nje la Computer. Unapokufa Mungu anachomoa Bios chip tu iliyo na taarifa zako!

Leo twende tofati kidogo, tuchukulie Roho ni HummingBird au Cookie au Cache japo mimi nitapendelea tuichukulie kama HummingBird. Roho (Soul) imegawanyika katika sehemu tatu ambazo ni Mind, Intellect na Impression. Mind ndio inahusika kwenye kufikiria, hasa kwenye kutambua lipi baya na lipi zuri. Kwenye Mind kuna kitu kinaitwa Subconcious Mind hii ndio sehemu kuu ya Roho (Soul) ambayo kazi yake ni kurekodi shughuli zetu za kila siku ziwe za kimwili au kiroho.

Sasa kwenye maisha halisi ipo hivi, unapofanya kitu fulani roho(subconcious mind) yako inarekodi. Labda siku moja uliwahi kuwa na mahusiano/ Kutongozwa/za na mwanaume au mwanamke ambao kwako wewe ambae wewe unaona hakufai, roho yako inahifadhi taarifa kwamba uko interested na watu wa namna hiyo. Au siku moja imetokea umeiba kitu roho itahifadhi taarifa. Siku umeenda jela basi roho itasevu. siku ukitembea na mtu aliekuzidi umri roho itahifadhi nk. Kwa upande wa Psychology roho tunasema kwamba Roho (Subconcious mind) inafanya kazi kwa ukaribu zaidi au inashirikiana katika kutenda kazi na Nature.

Kwa hiyo sasa unapofanya kitu fulani roho yako ikakihifadhi, baadae Roho itawasiliana na Nature kwamba unapenda vitu fulani hivyo nature itakua inakuletea vitu hivyo mara kwa mara. Hiki kitendo nature kuwasiliana na roho kisha kukuletea yale usiyoyapenda ndio tunaita MKOSI.

Mfano: Mbaba aliyekuzidi umri kakutongoza wewe kwa kua unashida zako ukamkubalia roho inahifadhi. Baadae itawasiliana na nature kua fulani anapenda wanaume wa umri fulani kisha nature itakuletea mwingine kama suggestion. ukikubali tena na tena basi ndio itakua tabia yako kabisa. Hii ipo kwa kila kitu iwe kibaya au kizuri.

Je, tufanyaje ili kuepuka mambo mabaya yanayotuandama?

Kwenye Computer ili kuziepuka cookies baada ya kutumaliza kuperuza mitandaoni inatakiwa uende upande wa setting kisha chagua Clear Cookies ili kuondoa kumbukumbu zote zote za kuperuzi siku hiyo. Kwa upande wa Google kubaki na taarifa zako. Huwa tunashauri kutumia Search Engine ya Duck Duck Go, Hii web ni nzuri zaidi maana hua ina clear taarifa zako zote baada ya kumaliza kuitumia..ina mengi mazuri ya kiusalama hasa kwenye taarifa za utumiaji wa kila siku (Browsing History). Jamani siipigii debe hii web, ni kuwaweka sawa tu na mada yetu hii. Sasa kuclear cookies au kuondoa mikosi kwenye maisha kuna mambo kadha ambayo tutayafanya.

Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini mtu akitoka jela au mahabusu (kituoni) zile nguo alizoenda nazo huwa zinatupwa, pia itabidi aoge kabisa kabla hajaingia ndani, wengine huenda mbali zaidi kwa kuogeshwa dawa za mitishamba ili kuondoa mikosi. Hapo sasa ndio kitendo cha kuclearcookies. Wanafuta taarifa zote zilizomo kwenye roho zihusuzo jela. ni mfano tu huu ila hizi hapa chini ni njia zangu amabazo mimi kwa ufahamu wangu nadhani tukizitumia tutaweza kuondoa mshikamano wa mambo mabaya kwenye maisha yetu (Mikosi)​
  • Kujua Preferences zako
Ili kuondoa kushikamana na mambo mabaya maishani inabidi mtu ujitambue wewe binafsi unapenda nini hasa. Je unapenda Kuwa mwema? Unapenda kuiba?unapenda mwanamke wa namna fulani?unapenda mwanaume wa aina fulani nk nk.. ukishajua ukipendacho basi futa yale uyapendayo nawe yatakua yanashikamana nawe.

Hatima yako ipo mikononi mwako, usiache Nature ikuchagulie Hatima yako kwa vitu ambavyo hupendi. Hivyo basi tukisha tambua yale tunayoyapenda na kuayafuata tutaifanya nature ituletee yale pia mabayo tunayapenda.Hapo tutakua tumekwepa kufuatwa na mabaya.​
  • Kujiondoa kwenye mikosi. (Kuclear Cookies maishani)
Jamani maishani huwezi kua smart muda wote Nature always win!!!, ipo siku utanasa tu. Sasa hapa labda tuseme umeshavuruga mambo maisha yamejaa mikosi na mabaya yanakuandama. Hapa sasa tutaangalia jinsi ya kuondoa hayo mambo.

1. Tutumie Chumvi na maji, Usishangae sio uganga wala uchawi. Chumvi ni dawa nzuri sana kwa binaadamu nadhani member wengi wameielezea sana humu, sina haja ya kueleza zaidi. Cha msingi chukua chumvi ile ghafi ambayo haijapita kiwandani changanya na maji kisha nuia unavyotaka kisha oga. Hata nabii Ezra aliambiwa na Mungu achanganye maji naNchumvi kisha kuwapatia wana wa Israel wajitakase, ndio maana kwetu RC kuna maji ya baraka yenye Chumvi.

Kama utakua karibu na bahari itapendeza kabisa wewe ni kwenda na kujitupa tu majini maana huko chumvi kibao

2. Mshirikishe Mungu unayemuamini hata kama ni mzimu, hapo inabidi uombe toba kabisa, mweleze mapungufu yako na mahitaji yako kua unataka kuwa mtu mpya, mambo mabaya hutaki kushirikiana nayo. Piga sala sana na ibada kadri uwezavyo. Almighty atakuelewa na kukusafisha uwe mpya.

Maisha bana is all about determing yourself waganga, manabii na mashehe Sharifu wanatuibia tu kwa kuwa wanajua elimu tunayo kidogo, hatujitambui. Tujifunzeni kujitambua hatutasubiria kuombewa na nabii. Wao wanacheza na Psychology ambapo huko watu wengi ni watupu sa tunapigwa tuuu!!!

NOTE. Ahsante Mungu kwa yote uliyonijalia hasi umeniwezesha kuandika mada hii.
End....

Kama umepende Like, Comment then share kwa wenzio.

~Da'Vinci
el maestro.
Kama ilivyo nature kwa ma CCM kuua watu hovyo ili yabaki madarakani mambwa haya
 
Umetumia nguvu kubwa sana kuelezea kitu ambacho hakieleweki,sio kwamba hamna point, la hasha. Point zipo nyingi tuu lkn umeongelea vitu vingi kwa mpigo ambavyo havina relation.

Ungekuwa kwa daktari, angekwambia una circumferential thinking.

Unforgetable
Una bichwa gumu sana wewe,mimi nimesoma phrase tatu tu nikaelewa kila kitu,mkuu utakua mwana CCM wewe sio bure
 
Una bichwa gumu sana wewe,mimi nimesoma phrase tatu tu nikaelewa kila kitu,mkuu utakua mwana CCM wewe sio bure
In one word anazungumzia FATE/DESTINY.

Na fate ni ngumu sana kuibadilisha, sio sawa kuifananisha na vitu kama cookies ambazo ni AI.

BTW, tuachane na mambo ya u ccm na u cdm, nipe connection ya kuja Australia mkuu, nina the most wanted profession in the world.
 
Huu Uzi ni nzuri sana tena ila Kwa wale tu wenye kuutambua vitu vya rohoni au kufuatilia
Mimi nimeelewa tena sana
 
In one word anazungumzia FATE/DESTINY.

Na fate ni ngumu sana kuibadilisha, sio sawa kuifananisha na vitu kama cookies ambazo ni AI.

BTW, tuachane na mambo ya u ccm na u cdm, nipe connection ya kuja Australia mkuu, nina the most wanted profession in the world.
Jokes on you, Maana fate na destiny ni vitu tofauti.
Hawezi kukusaidia atajua ni mtego wa Serikali
 
Sijasema zina maana moja, nimemaanisha they are both dealing with Predetermined Future.[/color]
Ili tuelewane vuzuri ningependa unieleze kwa kiswahili maana ya destiny ns fate kwa unavyofahamu
 
Mkuu shida ya makanisa mengi hawasomi hawachimbui historia hawataki kujua sources mbalimbali. Catholic kwenye Theolojia wamewaacha mbali sana
Knowledge yote duniani kutoka kila pembe ipo kwenye maktaba za vatican. Rc wanajua wanachokifanya ndio maana kuacha picha ile ya yesu makanisani sio wajinga.
So hawa wazushi/protestant wakibisha na kuchukia RC wala haitusumbui
 
Mbona mhhhh! Mkuu

I don't believe in the so called bad luck ,everything happen with great reason behind it regardless of whether it pains or thrilling you what you have to do is just be positive about it.

Kwema lkn boss?
 
I don't believe in the so called bad luck ,everything happen with great reason behind it regardless of whether it pains or thrilling you what you have to do is just be positive about it.
Ok, thanks for your pitching. Let's roll.

Kama unaamini katika "Good luck" basi lazima uamini katika Bad luck, ni kama unavyoamini katika Baraka basi lazima uamini katika Laana pia Since kila kitu kipo katika mizani ya ulingano kwamba kimoja kisiwe pekeyake. Je huamini katika mambo haya niliyotaja/bolded red???

Kama unaamini kila kitu chatokea kwa sababu, basi unaamini katika uwepo wa Hatma/Destiny na Fate. Je waamini katika hivi??....

Mkuu hakuna uwepo wa Postive Perception/Thought bila Negative thought ni vitu viwili vinakua pamoja kichwani mwa mtu sema kimoja kina Manifest kwenye Consciousness ya mtu. So huwezi kusema kwamba just uwe na Postive thought bila kua na negative pia.

Since, A hero can't exist in vacuum...!!!
Kwema lkn boss?
Kwema kiongozi
Ps. I'm not a boss, just a random guy.
 
Uko sawa kabisa labda sijawasilisha point yangu vizuri ninachomaanisha ni haijalishi jambo gani limetokea nitalichukulia ktk mtazamo chanya na si kujiambia nina bahati mbaya japo najua bahati mbaya ipo.

Eti a random guy! Yu
 
Hatua ya kwanza kufundishwa kwenye Recovery unafundishwa kwamba Define yourself by what you have, value the differences, make no apologies for what you lack. So kama kitu kipo negative just take it as it's coz bahati na bahati mbaya vyote ni vitu vilivyopo maishani mwetu. Huwezi kuacha kusema kitu kama kinakuumiza halafu useme utaangalia upande chanya. Yaani ufiwe na mzazi badala ya kulia uanze kuangalia upande chanya wa kufiwa ili usilie.. Utakua unajioikia bomo moyoni mwako
Eti a random guy! Yu
Yes, I'm just a random useless guy.
 
Define yourself by what you have, value the differences, make no apologies for what you lack. So kama kitu kipo negative just take it as it's
Chose your destiny of life how to be and choose it wisely If you can't choose other people wil choose for you.

Bora ufanye maamuzi mwenyewe masna kutokufanya maamuzi ni maamuzi mazito utakayokua umeamua. Not making decisions is a biiiiiiig decision
Uko sawa kabisa labda sijawasilisha point yangu vizuri ninachomaanisha ni haijalishi jambo gani limetokea nitalichukulia ktk mtazamo chanya na si kujiambia nina bahati mbaya japo najua bahati mbaya ipo.

Eti a random guy! Yu
 
490 Reactions
Reply
Back
Top Bottom