Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

FB_IMG_16040951206046840.jpg
 
Aiseeh nimekuelewaa mnoo...!!! The way ume conect technology,nature na masuala ya psychologia...incredible mzee!!! Hapa nipo njian naenda nunua chumvi ya mawe.
 
Tom McCarthy
Je inakuaje ujawahi tungoza single mama , lakini mwisho wa siku unakuta kila mwanamke ukimtongoza unakuta ni single mama. Je roho kama izi zinatoaka wapi na jinsi gani yakuzisafisha.

Je spirit za kiukoo na kifamilia ambazo zinafuata bloodline unaweza kuziepuka vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeelewa japo ntaendelea kufatilia kwenye kitabu cha SEVEN SPIRITUAL LAWS OF SUCCESS
ila ndo usiache kukumbushia ulipo sahau
Asante
 
Kwa hiyo we vijiweni wanao waza kwenda Ulaya au ..kutoboa..nao kuna siku itakuwa kweli?
 
Je spirit za kiukoo na kifamilia ambazo zinafuata bloodline unaweza kuziepuka vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kuna wakati wewe mzaliwa wa kwanza unaweza kua umeyafanya mambo mawili niliyoainisha hapo juu au hukuwahi kufanya kabisa maishani mwako na maisha yako yamekua totally miserable huoni pa kutokea maisha yako yamejaa giza ila unatamani kutoka huko ulipo utembee katika njia ya kusudi lako, Fear not God got you coverd!

Mwalimu Mkuu/lecture (Yesu Kristo) ni mzaliwa wa kwanza katika familia ya BWwana Joseph na Bibi Mariamu, yeye ndio kiongozi wa wazaliwa wa kwanza wote hapa duniani. Anajua kamba Yule mwovu anawatafuta kwa kila hali ili msiweze ku-pursue kusudi lenu, baada ya kumaliza mkataba wake wa kufundisha hapa Darasani(Duniani) akaondoka zake kwenda kuandaa mataji na vyeti (kupaa mbinguni) kwa wote ambao watakaofaulu masomo yake alijua kabisa hawa wanafunzi wangu wanakumbukumbu hafifu na wakiona mwalimu hayupo hawajisomei tena (kuishi katika maagizo ya Kristo) wanabaki kupiga fujo darasani. Hivyo alipofika huko alipoenda alimtuma Tutorial Assistance wake (Roho mtakatifu) aje kutukumbusha na kutufundisha maagizo ya Kristo kwa wale ambao tulikuja muhula ambao kristo hayupo.

Tutorial Assistance alitufundisha kitu kipya kwa sisi tulioingia muhula mpya mwalimu mkuu akiwa hayupo, Alitufundisha kitu kinaitwa deliverance kwa Kiswahili rahisi ni kupokelewa Upya. Wewe mzaliwa wa kwanza Ukishafika ile sehemu tunaita the point of no Return maisha yako yamejaa taabu na mahangaiko Yesu kristo kupitia roho mtakatifu anatoa huduma hiyo ya kuwapokea upya wale wote ambao wamepote maana yeye ni mchungaji mwema kondoo wake mmoja akipotea atahakikisha anamtafuta na kumrudisha kundini…Hivyo Yesu kristo kupitia Roho mtakatifu amewaagiza watumishi wake kuwa na siku maalumu au vituo mbalimbali vya kupokea wale wote waliopotea. Ukienda hapo wataformat Had Disk Drive yako (roho) na kufuta cockies na caches (roho za giza) zote zisiweze kukufuata tana.

Ukitoka hapo unakua mtu mpya na unaweza kuishi katika kusudi lako kama mzaliwa wa kwanza ila kamwe usisahau Uimara wa Roho yako ndio unaohitajika kuweza kuishi katika Kusudi lako kama mzaliwa wa kwanza.
 
Mkuu... .. wewe ni mzaliwa wa ngapi ??

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom