Je, unafahamu Alaska ipo Marekani lakini ipo sehemu ya Canada

Warusi waliiuza kwa Hiari tu. Diplomasia na ushawishi wa Rais wa Marekani enzi hizo Andrew Johnson pamoja na waziri wake wa mambo ya nje Williams H Seward zilizaa matunda kwa kushawishi kiongozi wa urusi enzi hizo Czars Alexander II kukubali kumuuzia Marekani Alska 7. 4 million dollars.

Senate ya Marekani ilimpinga sana Andrew Johnson ila alisamamia hapo hapo na sasa Marekani inaona matunda yake ukiondoa steatwgy iliyogwanyishwa na Barent sea or straight Alaska kuna rasilimali tofauri nyingimafuta fesi na misitu.

Urusi inasikitika sana kuwazia Marekani Alaska. Na kama bado Alaska ingekuwa ya Urusi basi Urusi ingekuwa Ulaya, Central Asia, south east Asia na bara la Marekani.

Jimbo lingine Marekani kulinunua ni Louisiana kutoka kwa wafaransa.
Acha Uongo wewe
Kulikuwa kuna Vita kati ya Urusi na British. Hii ndio sababu
 
Mimi naomba tu kujua juu ya ukweli wa the lost city(Atlatis) je ni kweli jiji hili lipo katika bara la Atlatic ambapo mataifa makubwa yameweka makatazo mbalimbali watu kwenda uko

Je,Kuna ukweli kuhusu hili GT?
 
Historia fupi ya alaska inaonyesha kuwa kipindi cha Urusi miaka mingi iliyopita ilikuwa sehemu ya miliki yao.

Baada mfumo mbovu wa utawala kwenye madaraka ilikuja kuuza alaska kwa Marekani na ndio mpaka leo Alaska ipo Marekani.
Miaka ya zamani kumbe watu waliuza sehemu.

View attachment 1892850
Hiyo nayo ni habari mwanangu au umekosa la kuchangia?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom