Je, unaelewa nini mwanamke akisema anapenda mwanaume romantic?

Umesomeka vyema.

Penye penzi la kweli na dhati ya moyo fedha siyo msingi.

Fedha siyo determinant hata kidogo.

Actually iwapo mtu anataka kufahamu raha ya penzi ni pale ambapo fedha siyo determinant ya penzi
 
Watu wengi wako kwenye mahusiano ya ngono na wala si mapenzi kama ambavyo wengi huzani.
 
Mada yako ni nzuri sana tena umejaribu kuiweka kiweledi kwa namna fulani.

Endelea kuwa unatuletea mwendelezo.
 
Back
Top Bottom