Je, unadhani unamjua kila mmoja JF hapa ndio utaona huwajui wengi? Tujuane basi

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Nimeshangaa kuona JF humu kuna watu wanafahamiana na wanajuliana hali Mara kwa mara. Hata ukipita kwa kutaja jina lako la JF na jukwaa unalopendelea na kwanini sio mbaya

Je, wamejuana vipi kupitia posts,comments au wamejuana nje ya JamiiForums?

Njoo ujionee hapa ni jinsi gani huwajui watu hasa endapo wewe sio mpenzi wa majukwaa mbalimbali yani Kama umebase jukwaa moja Inaweza kupita hata miaka hujawajua licha ya kuwa wote mnatumia Jamii Forums .

Tumia jukwaa hili kuwajua hata kimajina tu ya JF au kwa haiba na tabia zao iwe kwa kuambia au katika stori watazokuwa wanapiga humu.

Muanzisha thread naitwa zagarinojo maybe wana MMU wanaweza kunijua watakupa sifa kedekede juu yangu.

Na wewe wajue wengine kupitia wengine au wao wenyewe
 
Mate kama utakua interested naweza kukurecomend vitu vitakavyokufanya uwe busy daily. Hata kama ni kukutunza ujuzi fulani Willing yako tu. Huku hakuna faida sana
Feel at Home Mr no problem
 
Back
Top Bottom