Je, unadhani Rais Samia kwenda kusemea Marekani kuwa kufanya Kazi na Hayati Rais Magufuli ilikuwa Ngumu analenga nini kati ya yafuatayo?

1. Anamshtakia Hayati Rais Magufuli kwa Wamarekani?

2. Anataka Kujitofautisha nae ili Wamarekani wampe sana Misaada?

3. Anawaomba Msamaha Kidiplamasia ili Wamarekani wampende?

4. Anathibitisha kuwa Waafrika wote tuna PhD's za Unafiki na Uzandiki tukiwa mbele ya Wazungu?

5. Anawaambia kama ameshindwa kutoa Siri hiyo Kwetu Watanzania na kaenda kuitolea huko Marekani hivyo hata wakihitaji Siri zingine za Kuichukua moja kwa moja Tanzania and we are kuwapa tu?

6. Amewawashia Taa ya Kijani Wamarekani kuwa kwa sasa Tanzania iko chini ya Bibi Mstaarabu na siyo Mkorofi Mwerevu aliyeondoka na Israeli, hivyo wanaweza kuja kuendelea kufanya Tanzania ni Shamba lao la Bibi kama zamani?

7. Anawataarifu rasmi kuwa sasa Tanzania ( Bara na Visiwani ) ni yao hivyo Washindwe tu wenyewe.
Sana sana namba 2 na 3 ndio lengo kuu
 
Ni inferiority tu kwa wazungu unajikuta unaropoka na maswala ambayo ni domestic politics per se na maswala ya ndani ya kiutawala.......yaani ni sawa na kwenda kuwasimulia majirani ishu za nyumbani kwako, kwamba mkeo aligoma kukupakulia msosi...
Kwa kweli hii ilikuwa ni fedheha kubwa kwa nchi yetu, inabidi akumbushwe kuwa inawezekana hata makamu wake Dr. plan pia nae hamwelewi lakini kwa hekima zake sidhani kama anaweza kutamka hayo maneno si ughaibuni tu bali hata ndani ya nchi. Kwa kw2eli mama wa kupapaswa na kupuliza mfuuuuuuu kachemka.
 
Ni hiviiii!?? Sio mama samia tuu alipata ugumu Bali watumishi wote wa umma kwan hawakuongezwa mshahara katika kipindi cha magu!!! Hivyo wapo pamoja na mama!!? Eboo!?? Kama hutaki kalinde kaburi
1. Anamshtakia Hayati Rais Magufuli kwa Wamarekani?

2. Anataka Kujitofautisha nae ili Wamarekani wampe sana Misaada?

3. Anawaomba Msamaha Kidiplamasia ili Wamarekani wampende?

4. Anathibitisha kuwa Waafrika wote tuna PhD's za Unafiki na Uzandiki tukiwa mbele ya Wazungu?

5. Anawaambia kama ameshindwa kutoa Siri hiyo Kwetu Watanzania na kaenda kuitolea huko Marekani hivyo hata wakihitaji Siri zingine za Kuichukua moja kwa moja Tanzania and we are kuwapa tu?

6. Amewawashia Taa ya Kijani Wamarekani kuwa kwa sasa Tanzania iko chini ya Bibi Mstaarabu na siyo Mkorofi Mwerevu aliyeondoka na Israeli, hivyo wanaweza kuja kuendelea kufanya Tanzania ni Shamba lao la Bibi kama zamani?

7. Anawataarifu rasmi kuwa sasa Tanzania ( Bara na Visiwani ) ni yao hivyo Washindwe tu wenyewe.
 
Kwa kweli hii ilikuwa ni fedheha kubwa kwa nchi yetu, inabidi akumbushwe kuwa inawezekana hata makamu wake Dr. plan pia nae hamwelewi lakini kwa hekima zake sidhani kama anaweza kutamka hayo maneno si ughaibuni tu bali hata ndani ya nchi. Kwa kw2eli mama wa kupapaswa na kupuliza mfuuuuuuu kachemka.
Fedheha kwenu nyie wangese
 
Ni hiviiii!?? Sio mama samia tuu alipata ugumu Bali watumishi wote wa umma kwan hawakuongezwa mshahara katika kipindi cha magu!!! Hivyo wapo pamoja na mama!!? Eboo!?? Kama hutaki kalinde kaburi
Kumbe Rais Samia ameongeza Mishahara? Nilikuwa sijui.
 
1. Anamshtakia Hayati Rais Magufuli kwa Wamarekani?

2. Anataka Kujitofautisha nae ili Wamarekani wampe sana Misaada?

3. Anawaomba Msamaha Kidiplamasia ili Wamarekani wampende?

4. Anathibitisha kuwa Waafrika wote tuna PhD's za Unafiki na Uzandiki tukiwa mbele ya Wazungu?

5. Anawaambia kama ameshindwa kutoa Siri hiyo Kwetu Watanzania na kaenda kuitolea huko Marekani hivyo hata wakihitaji Siri zingine za Kuichukua moja kwa moja Tanzania and we are kuwapa tu?

6. Amewawashia Taa ya Kijani Wamarekani kuwa kwa sasa Tanzania iko chini ya Bibi Mstaarabu na siyo Mkorofi Mwerevu aliyeondoka na Israeli, hivyo wanaweza kuja kuendelea kufanya Tanzania ni Shamba lao la Bibi kama zamani?

7. Anawataarifu rasmi kuwa sasa Tanzania ( Bara na Visiwani ) ni yao hivyo Washindwe tu wenyewe.
Raisi magufuli alikuwa fedhuli. Mtu asiyejali utu utu aliamini kwamba kiongozi mzuri ni kiongozi mfokaji, fedhuli na asiyejali
 
Back
Top Bottom