Je unaamini katika uchawi na ulozi? utajiri wa kichawi?

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,018
3,875
Kuna uwezekano wa mtu kuchukua bahati ya mtu au kumloga mtu ili apate utajiri?
 
Utajiri ni fumbo Mkuuu. Lkn
"Kama unaamini utajiri ni baraka za Mungu basi amini na umasikini ni hivyo pia."
By Chizzodrama of JF
 
Kuna uwezekano wa mtu kuchukua bahati ya mtu au kumloga mtu ili apate utajiri?
Kuna ukweli hafifu sana kwenye haya mambo.. Sehemu kubwa ni story za kutunga.. Haya mambo yapo lakini michakato yake ni very complicated
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom