Je una tatizo la harufu mbaya mdomoni? Soma hapa itakusaidia

omega6

Member
Oct 4, 2012
5
3
[h=2]
C:%5CUsers%5CBENY%5CAppData%5CLocal%5CTemp%5Cmsohtml1%5C01%5Cclip_image002.gif
Kumaliza tatizo la halitosisi na kinywa kwa ujumla inawezekana. Ni wewe tu!!![/h] FOREVER BRIGHT TOOTH GEL
Bidhaa ya kusafisha meno iliyotengenezwa kutokana na stabilized Aloe Vera Gel pamoja nabee propolis hivyo huua bacteria na vijidudu vyote. Inang’arisha meno bila kuchuna tabaka la juu la meno-ENAMEL. Huzuia meno yasitoe damu, kuponya vidonda vya mdomoni na endapo kuna maumivu mdomoni unaweza kupaka kwenye meno moja kwa moja bila kupiga mswaki.
Husaidia kusafisha fizi na kuzifanya tishu zake ziwe na afya imara. Haina fluoride kama zilivyo aina nyingine za dawa za meno. Fluoride inayopatikana kwenye majiinatosha kwa ajili ya afya. Ikizidi inakuwa na madhara mwilini hasa kwa watoto wadogo huathiri IQ(Intelligence Quotient)

Husafisha na kuyaacha meno yako yakiwa naking’aa. Dawa zenye fluoride pia huaribu meno sbb ya kuzidi kwa hayo madini na rangi ya meno hubadilika rangi.

Usiwe na shaka kuhusu kuepuka ili meno yako yasiharibike. Tumia hii product kwa afya ya kinywa na yenye upendeza.

FAIDA: Huzuia kutokwa damu, harufu mbaya, kuimarisha fizi, matundu kwenye meno,huponya vidonda vya mdomoni, haina fluoride.
ALOVERAGEL

· Bidhaa hii in aloe vera kwa 100%
· Aloe vera ni muhimu kwa mgonjwa wa fangasi ya koromeo kwani
- ina madini ya cromium (inaboresha ufanisi wa mmengenyo )
sodium na potasium (muhimu katika kuleta uwiano wa pH
mwilini), magnesium (muhimu kwa mfumo wa fahamu),
zinc (muhimu katika mmeng’enyo wa vyakula vya wanga,
mafuta na protein)
- hulinda ini dhidi ya sumu zinatotengenezwa na wagonjwa
Au bacteria zizalihswazo na mabaki ya chakula
- vitamin A, B, C na E (viondosha sumu mwilini)
- amino acid (vimelea vya protini) ni muhimu katika kujenga
misuli ya mwili ambayo huwa dhaifu kwa mgonjwa
GARLIC TYME
l Bidhaa hii ina ‘Quercitin’ ambayo ni muhimu kwa matibabu ya
harufu mbaya mdomoni
l Quercitin hupatikana pia katika vitunguu. Ambapo ni sawa na mtu aliyekula vitunguu 12
l Vilevile ni kiondosha sumu na pia ina vitamin B na C.
ALOE ACTIVATOR
Hii ni kwa ajili ya kusukutua mdomon kwani inaua bacteria wote waliobaki kwenye meno na fizi ndo maana inashauriwa uweke mdomoni baada ya dakika tatu unaweza kumeza au kutema
KUMBUKA BIDHAA ZOTE HIZO ZINA GURANTEE YA SIKU 30 KAMA UMETUMIA ZOTE TATIZO AlijaONDOKA UNARUDISHIWA PESA YAKO

KWA MAWASILIANO NA USHAUR ANDIKA
BENSON
benkissy@yahoo.com
0683672508
Dar es salaam
 

Attachments

  • RTEmagicP_100_0250.JPG
    RTEmagicP_100_0250.JPG
    218.2 KB · Views: 159
  • 4-colon-cancer-early-symptoms.jpg
    4-colon-cancer-early-symptoms.jpg
    16.7 KB · Views: 136
  • aloe-vera-gel1.jpg
    aloe-vera-gel1.jpg
    17.5 KB · Views: 108
  • 11847-aloe_vera_-_garlic-_tyme-big.jpg
    11847-aloe_vera_-_garlic-_tyme-big.jpg
    10.1 KB · Views: 122
Asante mleta mada tutwajulisha na wengine, je nitapata commission kwa kazi hiyo? Dawa hizi zinapatikana katika maduka ani hapa TZ, tutajie!! Tukumbuke kuwa, biashara ni matangazo!!!
 
hamna maduka yoyote yapoweza kupatikana hila utaletewa sehemu yoyote ulipo we tuwasiliane but lazima nikushauri kwanza kutokana na tatizo lako kwani ushauri wa kitalaamu ni muhimu sana
 
Back
Top Bottom