Je, una taarifa zozote za Rushwa?

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
Je, una taarifa zozote za Rushwa?

Iwapo utakutana na tukio la Rushwa mwananchi una wajibu wa kuwasilisha taarifa za tukio hilo katika mamlaka inayohusika na kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU.

Wasiliana na wakuu wa mamlaka hiyo kupitia namba zifuatazo;
1.Arusha…………………0738 150 063
2.Dodoma………………0738 150 070
3.Geita…………………..0738 150 078
4.Ilala…………………….0738 150 234
5.Iringa…………………0738 150 084
6. Kagera……………..0738 150 088
7. Katavi ……………0738 150 096
8.Kigoma ……………..0738 150 103
9.Kilimanjaro…………0738 150 110
10.Kinondoni ……….0738 150 236
11.Lindi………………..0738 150 118
12.Manyara…………0738 150 124
13.Mara……………..0738 150 130
14.Mbeya………….0738 150 137
15.Morogoro……..0738 150 143
16.Mtwara…………0738 150 156
17.Mwanza………0738 150 162
18.Njombe……….0738 150 170
19.Pwani………….0738 150 176
20.Rukwa………0738 150 186
21.Ruvuma……0738 150 190
22.Shinyanga….0738 150 196
23.Simiyu…….0738 150 202
24.Singida……0738 150 208
25.Songwe……0738 150 214
26.Tabora…….0738 150 218
27.Tanga…….0738 150 225
28.Temeke…..0738 150 239.
 
Sijaona # ya mkuu anayehusika na hicho kitengo kwa mkoa wa Dar maana yupo mtoa rushwa mmoja atazungumza leo na lazima ktk atakayozungumza moja kiwe kiashiria cha rushwa.

Na kote huko ulikoorodhesha ameshapita na ametamka maneno wazi yanayofanana na utoaji wa rushwa sijui hamkumsikia?
 
kuna mdada yupo mahakama ya Usambara yule ni secretary hajielewi,amekua akinyanyasa watu wanaokuja hapo mahakamani aliwahi kumfanya mama yangu akalia kwa kuandaa mazingira ya rushwa na uzuri hata wafanyakazi wenzie wanamjua

Ana mdomo mchafu na kauli mbovu sana aliwahi kumjibu mama yangu hivi nilivyovaa unaona nafanania na kwenda kukutafutia file lako kwenye mavumbi?

Siku nyingine alimjibu file lako halionekani rudi nyumbani kalale, akaja mjibu tena ukiambiwa uje tarehe fulani unakuja kuchelewa sasa tarehe yako imerushwa njoo siku utakayojisikia mwenyewe kuja na anaanda mazingira ya rushwa ilibidi nivae njuga mimi nikaenda kuonana na hakimu ndio tena sikukutana na huyo dada face to face nilielekezwa tu nipande juu kwa hakimu nikapanda nikiwa na mama nikamweleza hakimu.

Sasa nilisema hili sakata la mama likimalizika nirudi kwa huyu dada hawezi mliza mama yangu mimi nipo hai na hata hakuna la maana ni kijihela kilichoingia kwenye akaunti ya mzee ni ya Saccoss fulani baada ya kufariki kwenye kufatilia tumeambiwa tupitie huko kwanza
 
Ile Rushwa ya Magufuli ya kuwaambia wananchi wakati wa kampeni kuwa "naleta billion moja ya maji hapa", nairipoti wapi?
 
Siku hizi technologia imekua kubwa sana,kengele ni flash tu ila nashangaa sasa wewe unaisaka ile kengele ya kikatoliki yenye tani moja!
😁😂😅😄😃Ile Wakifungwa Hawataweza Kukimbia
Ukiwa Na Kengele Majizi Hayana Nafasi
 
Angalia Ilala, Kinondoni na Temeke. Namba zao zipo.
Sijaona # ya mkuu anayehusika na hicho kitengo kwa mkoa wa Dar maana yupo mtoa rushwa mmoja atazungumza leo na lazima ktk atakayozungumza moja kiwe kiashiria cha rushwa.

Na kote huko ulikoorodhesha ameshapita na ametamka maneno wazi yanayofanana na utoaji wa rushwa sijui hamkumsikia?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom