Je, una shida ya kusafisha negative picha zilizopigwa zamani jibu limepatika

Kalunya

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
13,324
18,478
Wazee wa analogi kama ulichelewa kusafisha negative picha ulizopiga kama kumbukumbu enzi za ujana,na leo studio zote hazina mitambo ya kusafisha negative na ni kumbukumbu muhimu hata zile negative za black and white za miaka ya 60 jibu limepatikana.

Nina jumla ya negative 500 sikusafisha mapema technology ikanipita katika zunguka yangu studio zote Dar sikupata jibu.

Nikaja lipata kwa msamaria mmoja akanielekeza,nenda Kodak makao makuu ipo mtaa wa Jamhuri Dar es salaam, inatazamana na jengo la sayansi jirani na ofisi ya Masumini nikaenda nikapata jibu.

Negative moja wanasafisha kwa 2500 kwa moja na zikiwa nyingi wanasafisha kwa 2000 ni ghali sababu ni technology iliyopita.

So kama unazo negative zako ulichelewa kusafisha nimeona ni share nanyi ili mwenye shida ya kusafisha picha za zamani apate jibu ili apate kumbukumbu.
 
Sio lzm usafishe zote ni mfuko wako.
Mimi nalazimika kulipa milioni 1 Ili nisafishe negative 500.
 
Wazee wa analogi kama ulichelewa kusafisha negative picha ulizopiga kama kumbukumbu enzi za ujana,na leo studio zote hazina mitambo ya kusafisha negative na ni kumbukumbu muhimu hata zile negative za black and white za miaka ya 60 jibu limepatikana.

Nina jumla ya negative 500 sikusafisha mapema technology ikanipita katika zunguka yangu studio zote Dar sikupata jibu.

Nikaja lipata kwa msamaria mmoja akanielekeza,nenda Kodak makao makuu ipo mtaa wa Jamhuri Dar es salaam, inatazamana na jengo la sayansi jirani na ofisi ya Masumini nikaenda nikapata jibu.

Negative moja wanasafisha kwa 2500 kwa moja na zikiwa nyingi wanasafisha kwa 2000 ni ghali sababu ni technology iliyopita.

So kama unazo negative zako ulichelewa kusafisha nimeona ni share nanyi ili mwenye shida ya kusafisha picha za zamani apate jibu ili apate kumbukumbu.
Umepigwa kariakoo wanasafisha kwa elfu moja
 
Duh gharama sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom