Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,872
- 21,952
Yawezekana wakati unaoa uliona kabisa ametoka kwa mungu gafla shetwani akachukua nafasi ..sasa basi suluhisho sio kuachana ama kumuacha yupo mungu anaeweza..kanisa la assemblies of god mikocheni b limeandaa maombi ya kufunga siku tatu kuanzia leo na jioni ukiwa na muda karibu kwenye ibada kukataa na kuuvvunja kila ngome za adui zikiwemo ulevi wizi uzinzi kwa wanandoa na wasio wanandoa...
Yawezekana mkeo anakupiga finga sana wakati ukienda kuoga na kutotkana na kupenda unashindwa kumwambia mkewangu hizi pesa amechukua panya huyu anaezunguka ndani ama lah.kibaya yawezekana umesikia ana katoto kako form six azania anakasomesha ndicho kanamliwaza..lipo jibu ..njoo uombewe mungu atamfungua kutoka vifungo vya kuzimu
karibuni na wote mnakaribishwa
kingilio
bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee