Je,una mkwara wowote ambao mtu asiyejua kupiana ameutoa halafu akapigwa?Kama unao tupia hapa........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je,una mkwara wowote ambao mtu asiyejua kupiana ameutoa halafu akapigwa?Kama unao tupia hapa........

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mzalendo wa TZ, Sep 8, 2012.

 1. M

  Mzalendo wa TZ Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 2, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mfano:.............Mtu asiyeweza kupigana anamwambia anayeweza..."..Yaani leo nitakupiga wewe!!!!!Kama sitakuua utalazwa mortuary"...........ile wanaanza kupigana tu,jamaa anapigwa ngumi moja hadi kuzimia.

  Kama na wewe unao utupie hapo.
   
 2. S

  SHERRIE Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Shosti wangu mmoja alichokoza njemba akategemea tutamsaidia.

  Ngumi zinataka kuanza akaanza kuruka ruka halafu akatuambia "Jamani nishikeni, naua" Hamna alomshika, akala kipondo chake baadae tukamsindikiza kwa dingi wake kusema.

  Tulikuwa primary school enzi hizo....
   
 3. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Mi muoga wa kutoa mkwara ila ni mwepesi wa kuvizia, coz kumpiga mtu mkwara huwa naona kama vile namtayarisha kujihami
   
Loading...