Je, umewahi kutafakari baada ya kuondoka kwako duniani?

Mungu nisamehe dhambi ya kupiga nyeto inanitesa sanaaa licha ya kwamba nimeoa na nina watoto na mke wangu namshughulikia ipasavyo mpaka basi..Ila nyeto inanitesa sana.
 
Amani ya mwenyezi Mungu iwe nanyi wapendwa
Naomba nianze na kisa hiki kilichonipelekea kuandika haya hapa. Nina ndugu yangu alifariki miaka kadhaa nyuma akaacha watoto wanne wadogo wadogo wa kwanza akiwa darasa la kwanza. Wakati wa kifo chake nilikua shule hivyo sikuhudhuria mazishi na baada ya kuuliza kchanzo cha kifo chake nikaambiwa ilikua ghafla ikabaki hvyo.
Sasa basi hapo majuzi nilipata wafadhili wa kusaidia wale watoto wakahitaji uthibitisho wa cheti cha kifo nikamuuliza mume wake akanipa. Baada ya kupitia kile cheti nikaona chanzo cha kifo kikiwa ni kutoa mimba, hii nadhani alifanya hivo kutokana na aibu ya watoto wadogo wadogo aliokua nao na kwa bahati mbaya ndio ikaondoa uhai wake.
Kile cheti kimenipa kutafakari sana. Tafakuri yangu naomba mimi na wewe tunaoamini kuwa kuna kufa na kuna siku ya hukumu ambapo kila mmoja atasimama mbele ya mola wake kupewa hesabu yake.
Je umewahi kujiuliza kila unachokifanya duniani ukiondoka nani atakisafisha kikiwa kibaya? Je hizi account za social media nani atafuta picha chafu tunazoweka? Je comment tunazozitoa mfano kusifia uzinzi, ulevi refer yule jamaa aliekua anajisifua tarehe falani atafikisha miaka 15 na mchepuko wake? Je hili bandiko nani atalifuta akitangulia mbele ya haki? Picha za ngono zinazopostiwa nani atazifuta? Cheti cha kifo ambacho hutokiano lkn tunaobaki tutakisoma je cheti hiki kitaoneaha umekufa kwa kifo kipi? Kujiua? Kujinyonga? Kutoa mimba tena sio kwa sababu za kiafya bali tu huhitaji mtoto? Mungu atusaidie.
Hakika hiche cheti cha ndugu yangu kimeniumiza sana
Inasikitisha mtu anaposhiriki tendo la ndoa, huku akiwa kana kwamba hajui matokeo yake! Uko ndani ya ndoa, unaogopa nini kuzaa? Njia za asili kukwepa kushika mimba zipo, mnashindwa aje kujizuia kutoshiriki kwa siku mbili au tatu ili kujipa nafasi ya kutoa malezi kwa mlionao tayari?!
 
Yani kifo bhana,kikikuhitaji huna ujanja lazima kikutafutie sababu tu.

Mfano Mimi nimekishtukia mapombe ninayopiga ni hatari nimeamua kuyatema toka Jana naona kabisa yananitafutia sababu tu nichomoke.lol
 
Kuanza kukumbuka mwisho wako hilo ni jambo bora sana kwa waaminio, kwa hiyo usiache likapita lifanyie kazi na mwenyeezi mungu atakusaidia, kwani hakuna ukumbusho ulio mkubwa zaidi ya kifo.
Naam hakika ndio maana nawaza hata watu wanaocomment upuuzi kila sehem bila kufikiri kesho itakuaje. Mwenyezi Mungu atusaidie
 
Yani kifo bhana,kikikuhitaji huna ujanja lazima kikutafutie sababu tu.

Mfano Mimi nimekishtukia mapombe ninayopiga ni hatari nimeamua kuyatema toka Jana naona kabisa yananitafutia sababu tu nichomoke.lol
Mwenyezi Mungu akuthabitishe ktk msimamo huo wa kuacha pombe
 
Inasikitisha mtu anaposhiriki tendo la ndoa, huku akiwa kana kwamba hajui matokeo yake! Uko ndani ya ndoa, unaogopa nini kuzaa? Njia za asili kukwepa kushika mimba zipo, mnashindwa aje kujizuia kutoshiriki kwa siku mbili au tatu ili kujipa nafasi ya kutoa malezi kwa mlionao tayari?!
Sidhani kama waliyatafakari haya. Ile cheti kile kimeniumiza. Nimewaza vipi ikitokea watoto wakaona chanzo cha kifo cha mama yao? Nimesikitika mno na kupata fundisho kubwa mno
 
You think you could spit on the mic
Like you Biggie and flow just as steady as I
Sh!t, it's real, you know you love em, you ain't got Ready To Die
Life After Death
, give it to you however you want it niqqa
Got it, they got ya, give it to you, however you want it niqqa
Cause the sh!t it get deep So I carry big heat
Screamin "Come and get me"
Twista and Biggie on the Swizz Beat.
Free mils, I love to make one
All these cars, I love to ride one
All these h0es, I love to cut one
A tribute to Big, I love to bust one.
 
With all what u love, u'r place has also been prepared whether u believe it or not
 
Mungu nisamehe dhambi ya kupiga nyeto inanitesa sanaaa licha ya kwamba nimeoa na nina watoto na mke wangu namshughulikia ipasavyo mpaka basi..Ila nyeto inanitesa sana.
Jipe adhabu kila ukifanya hivyo na uimaanishe hasa lazima utaacha. Mfano unaweza kujiekea adhabu mfno nikifanya tena nitafunga siku tatu ukiwa serious unaacha hyo dhambi. Mwenez Mungu akusaidie
 
Marehemu hana aibu wala sioni, kufa kupotea...

Ukifa uliyoyaacha hayakuhusu tena...
 
Dhambi kaumbiwa Binadamu, Ndiyo maana Kuna pepo.

Mimi nuwa nawaza nikitangulia mbele za haki Gari yangu itauzwa ( Ni mpenzi wa magari)

Kingine demu wangu ule mswambwanda wake utachezewa na wengine !!!!! Manake Mungu anatisha kwenye uumbaji.
Haahaaaa

We jamaa mbona umeandika utopolooo kwenye mada serious hivi
 
Yani kifo bhana,kikikuhitaji huna ujanja lazima kikutafutie sababu tu.

Mfano Mimi nimekishtukia mapombe ninayopiga ni hatari nimeamua kuyatema toka Jana naona kabisa yananitafutia sababu tu nichomoke.lol
Umeyatema toka jana haahaaa
 
Haahaaaa

We jamaa mbona umeandika utopolooo kwenye mada serious hivi
Aandike tu wosia kuwa siku akifa basis pro box yake ndo iwe jeneza,mmbona Kule nijeria watu wanazikwa na magari yao.

Kuhusu msambwanda hata asiwaze maana bado yuko hai lakini bado wanamgongea.
 
Pole sana, ila kabla haujafikiria maisha baada ya kifo, ulifanya jitihada ya kufikiria maisha ya kabla haujazaliwa?
Maisha kabla ya kuzaliwa unayafikiriaje ? Tupe muongozo. Au wewe ushawahi kuyafikiria na je ulipata hitimisho gani ?

Maisha baada ya kifo yanafikirika sababu hufata baada ya uhai wa hapa duniani.
 
Back
Top Bottom