Je, umewahi kusamehe? Just for the sake of experience...!

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Ever you forgiven anyone in your life? Kosa gani ulilofanyiwa hadi kulazimika kutoa msamaha, mfano; kutukanwa, kudanganywa, kuibiwa, kupigwa, kunyimwa haki, kusalitiwa kwenye penzi, .......!
How did you feel after forgiving someone?

Nawasilisha...!
 
Nimewahi kusingiziwa natembea na mume wa mtu ... Nimesamehe
najisikia vizuri kwa sababu yule mtu aliyezusha aliniomba msamaha.
 
hapo inategemea ni wakati gani matatzo yanatokea na je mhusika alivyoweza kutambua kosa na kuomba msamaha au wewe mhusika ulivyoweza kungundua na kudeal nalo bila vurugu
 
Nimewahi kusingiziwa natembea na mume wa mtu ... Nimesamehe
najisikia vizuri kwa sababu yule mtu aliyezusha aliniomba msamaha.
Kwanini usingiziwe?
Ulikuwa karibu na huyo mume wa mtu?
Mbona unaonekana wewe ni mcharuko?
 
Borrowed from a friend!
[h=6]If you are carrying strong feelings about something that happened in your past, they may hinder your ability to live in the present.
Les Brown
[/h]
 
kawaida kuna mazingira hujengwa na mtuhumiwa na akatuhumiwa lakini pia hii hutoka na mazingira na historia ya wapenzi ilivyo .. kama wakati mnaanza ku-date ulikuwa na mahusiano zaidi ya mmoja kila wakati utahisiwa kitu cha aina hiyo
 
Life is ful of barries and challenges. Ups and falls ni sehemu ya maisha. Tujifunze kushukuru kwa kila jambo!
 
mbona umeweza kukumbuka kuwa unasamehe na kusahau!

Hiyo ndiyo tabia yangu, hivyo ninajifahamu kuwa niko hivyo siyo kwamba nimekumbuka...
Hivi wewe hujawahi kunikosea nikakusamehe kweli? lol
 
Back
Top Bottom