JE umewahi kusalitiwa??? Unamchukuliaje msaliti???

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,452
3,065
Swali la leo ni kama umewahi kusalitiwa katika jambo lolote, je ulijisikiaje na usaliti huo na msaliti wake??

Usaliti na madhara yake ni noma, msaliti je anahadhi ya kuwa rafiki baada ya usaliti? msaliti wa nchi na siasa Jee

Tupeane experience ya usaliti
 
to obtain an assured favorable response from people, it is better to offer them something for their stomachs instead of their brains by A.Einstein
 
Back
Top Bottom