Basi mimi am the oppositeKi saikologia hamna mtu wa hivyo.
Ni labda hakuwahi kuwa huru kwenye malezi,wale wanaonyanyaswa sana,mpaka anaogopa kila mtu.
Huyu akishampata wa kumuamini akawa huru anakunjua mabawa yake,ucheshi,kiburi,majivuno,nk.ndio maana wengi wetu katila maisha tukiishashika pesa tunaonekana kujidai,kumbe umasikini ulikuwa umetulowanisha na kutunyongonyesha.
Sasa kukutana na mtu wa hivyo maana yake hiyo ndio tabia yake halisi,hiyo ya upole haikuwa halisi.
Hatuiti comfidence hapana,ila inageuka na kuwa defence mechanism.Basi mimi am the opposite
Nikiwa na hela natulia sana yani am very humble hadi kuongea hadi movement sina makuu kabisa...
Nikiwa sina sasaaa hahahahah nakua na confidence sana
Ni nini hiki.?
sante sana counsellor kwa kumpa jibu muruaHatuiti comfidence hapana,ila inageuka na kuwa defence mechanism.
Hujihisi salama tena kwa kukosa hela,unakosa amanai,unajivisha koti.