Je, umewahi kukutana na mtu anae onekana mwema kumbe ana majivuno makubwa ya kisiri siri (big secret ego)?

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
14,183
Points
2,000

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
14,183 2,000
Ki saikologia hamna mtu wa hivyo.

Ni labda hakuwahi kuwa huru kwenye malezi,wale wanaonyanyaswa sana,mpaka anaogopa kila mtu.

Huyu akishampata wa kumuamini akawa huru anakunjua mabawa yake,ucheshi,kiburi,majivuno,nk.ndio maana wengi wetu katila maisha tukiishashika pesa tunaonekana kujidai,kumbe umasikini ulikuwa umetulowanisha na kutunyongonyesha.

Sasa kukutana na mtu wa hivyo maana yake hiyo ndio tabia yake halisi,hiyo ya upole haikuwa halisi.
 
LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
7,215
Points
2,000

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
7,215 2,000
Ki saikologia hamna mtu wa hivyo.

Ni labda hakuwahi kuwa huru kwenye malezi,wale wanaonyanyaswa sana,mpaka anaogopa kila mtu.

Huyu akishampata wa kumuamini akawa huru anakunjua mabawa yake,ucheshi,kiburi,majivuno,nk.ndio maana wengi wetu katila maisha tukiishashika pesa tunaonekana kujidai,kumbe umasikini ulikuwa umetulowanisha na kutunyongonyesha.

Sasa kukutana na mtu wa hivyo maana yake hiyo ndio tabia yake halisi,hiyo ya upole haikuwa halisi.
Basi mimi am the opposite
Nikiwa na hela natulia sana yani am very humble hadi kuongea hadi movement sina makuu kabisa...
Nikiwa sina sasaaa hahahahah nakua na confidence sana
Ni nini hiki.?
 
mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
14,183
Points
2,000

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
14,183 2,000
Basi mimi am the opposite
Nikiwa na hela natulia sana yani am very humble hadi kuongea hadi movement sina makuu kabisa...
Nikiwa sina sasaaa hahahahah nakua na confidence sana
Ni nini hiki.?
Hatuiti comfidence hapana,ila inageuka na kuwa defence mechanism.

Hujihisi salama tena kwa kukosa hela,unakosa amanai,unajivisha koti.
 
Forum statistics

Threads 1,380,858
Members 525,893
Posts 33,782,024
Top