Je, Umewahi kudanganywa na mpenzi wako kama alivyonidanganya hapa?

Leo ndo nimethibitisha zaidi uongo wake. Nilikua na bf nampenda sana. Tulidate kama miezi sita ila akabadilika ghafla, akapotea kama miezi sita hatuongei hata nimtafute hajibu msg simu hapokei. Mapenzi yanavyotia upofu akarudi akanipa story nikamsamehe tukaendelea.
Tukawa wote from June mpaka December ila nikawa naona kama sio yeye niliemzoea in short alichange na mimi nikawa namdate huku nina hofu ataondoka tena. Ilivyofika December akaniambia tena hatuwezi kuendelea sababu ya mama ake. I don't know alihusikaje ila he said something like he can't date me na at the same time awe cloz na mama ake sababu tulikua tunaishi mikoa miwili tofauti. Basi tukaachana japo nliumia sababu nlikua nampenda sana bado. January mwishoni kuna kaka alikuaga ananipenda nikaona let me try labda naweza fall kwa huyu nikamsahau ex bf. Hapo huyo kaka alikuwepo siku nyingi sema sikua serious nae niliona siwezi mcheat bf wangu. So January I slept with him ila baadae nikaja kugundua nina ujauzito wake na sikutaka kuutoa hata baada ya kujua alinidanganya vingi like kuachana na mke wake. Nikamwambia nina ujauzito wake akasema nitoe Nikamwambia siwezi kutoa kama hataki kuhusika Basi. Nikaanza safari ya kulea mimba peke angu katika mazingira magumu sana. Nilikua nalia like everyday yaani kuliko kutoa mimba bora nijiue tupotee mimi na huyu kiumbe. Miezi mitatu ikapita nikakubali ukweli nikamove on. Lakini bado moyoni nilikua nafeel guilty kubeba mimba ya mtu mwingine wakati yupo mtu nlieamini tunapendana. Tukaanza kuchat tena na bf ninaempenda. Akaja nilipo akanichek Nikamwambia ukweli wote kuhusu mimba. Akasikitika sana kwanini sikuzaa nae blah blah. Na hiyo siku nikalala nae. I was doing it for love nikajua labda tunaweza rudiana sababu alikua na mtoto tayari.
Duh!

Watu mmepitia mengi sana. Pole
 
Mimi kuna mmoja yupo kimara ana mume na mtoto mmoja wakike. Binti ni mchaga wa rombo. Tulijuana kutokana na kazi yangu ya uandishi wa RIWAYA.. kuna siku akanialika niende kwake kimara tukaonane. Mtu mzima nikaenda na kufanikiwa kukivunja kitanda cha watu. Binti alinambia niko mimi na mumewe na hana mwanaume mwingine. Lakini cha kushangaza nikipoenda kwake nikikamkuta akiwa na njemba tofauti na mumewe huku jamaa mkono wake ukiwa ndani ya chupi
Duuuh, mkuu pumzika kwa amani huko uliko,!!! R.I.P
 
Bwana yesu asifiwe,

Nanguliza shukrani kwaiko wewe ambaye umesoma hapa,
Nina orodha ya udanganyifu niliowahi kufanyiwa na wenzangu ( wapenzi mbali mbali) ila niligundua.

1. Mmoja mwanafunzi wa chuo flan pale karibu na mkulu aliniambia nimpe hela akatoe mimba yangu maana ana mimba ya miezi miwili, nikampa laki na nusu kumbe anamtumia men wake kakwama Morogoro, dah nikagundua nikauchuna,

2. Mwingine aliwahi kunambia nisiende alipopanga maana kuna mtoto wa mamamdogo wake kutoka arusha , nikasema sawa lakin nikanyata taratibu nkachungulia nkakuta njemba imemuweka kifuani dar nikashuhudia live yan, nikagonga hodi akasema sikujui,

3. Mwingine akanambia kuwa ana maombi kanisani usiku kumbe ana mimba ya mshikaji mwingine anaenda kutoa , nikagundua,

4. Mwingine akawa anatembea na mshikaji mtaani eti ni mtoto wa shangazi, yaan mpaka sasa sina hamu

Je wewe uliwahi kudanganywa kipi na ukagundua?
Twambie tupate funzo
Daah mimi mpenzi wangu hapo alipopanga kuna mpangaji mwenzake ambaye kaolewa,na ni marafiki wa kushibana mnoo,yaani marafiki haswa,ila sasa mimi kila ninapokuwa na huyo demu wangu akipita bwana wa yule rafiki yake,yule bwana huwa ananisalimia mimi tuu,hamsalimii huyo mwanamke wangu,siku moja nikamuuliza huyo mwanamke wangu,mbona yule mume wa rafiki yako akitukuta wawili huwa ananisalimia mimi tuu tena kwa jina,wewe hakusalimii?akanijibu yule ndio binadamu ambaye hasalimiani naye kabisa maishani,mwanaume malaya mke wake akisafiri anaingiza malaya tuu ndani,namchukia sana,akahitimisha mpenzi wangu,baada ya muda huyo mwanaume na mkewe wakahama tena wakahamia goba sisi tukiishi magomeni,Sikuamini macho yangu,siku moja narudi kuangalia mbele mida kama ya saa saba usiku nakuta watu wananyonyana mate gizani,kusogelea ni mpenzi wangu na huyo mume wa rafiki yake,na wote waliniona,alafu kipindi hiko huyo mwanamke wangu ni mjamzito,huwezi amini mwanamke kaamua kuondoka kaenda kwao kigoma na namba kabadisha simpati,niliumia sana na hili tukio ni la juzi juzi tuu hata mwezi haujapita!
 
Pole mkuu ndoukubwa
 
DuuhMamaee mimba yako mzee au??? Wanawake sio wa kuwaanini mzeee... Jamaa alimind sababu anamkulaa mamaee...
 
Nlikuwa na mwanamke n muongo sijui n usalam wa taifa maana kla kitu kilikuwa fake mpk ndgu nlgundua sio ndg zke alfu haelewek ana hama hama kila mkoa
Mmmm uyo alikuwa kweli usalama wa Taifa, maana wanawake wetu bado wana uwezo mdogo wa kudanganya bado awaja fika viwango ivyo.
 
My first boyfriend kuna siku aliniambia atasafiri atatoka Iringa ambako na mm nilikua naishi ataenda Dar hvyo nionane nae nikasema sawa.Tulionana nikamuambia nikusindikize stendi hyo kesho akakataa akasema ataenda tu mwenyewe nikasema sawa. Usiku umefika nachat nae namuambia nitakumiss ananiambia usijar baada ya 2weeks narud .Kesho asubuhi akanipigia baby mm ndio naondoka ubak salama nikamuambia safar njema kumbe hajasafir wala nini hataki tu kuonana na mm kwa kipindi hicho. Kuna rafik ang akanipigia smu nimemuona shemej, namuuliza wap ananiambia nmekutana nae mjin ila yeye hajaniona nikamuambia mbona kasafiri, akaniambia kamuona live ni yeye.Nilichoka nikakauka kimya ilipofika jion akanipigia smu nmefika salama nkamuambia sawa. Kesho yake nikamuibukia kwake na nikamkuta hata sikutaka maneno nikamuuliza tu hapa ndo Dar? Hana majibu. Tulikuja kuachana kwa sababu zingine tu lkn nikikumbuka huwa nacheka tu!!!
 
Pole sana broo mi nashindwa kusema maana sijawahi kuwa na mahisiano na mwanamke yeyote!!!na huwezi amini nina umri kati ya 28 na 32 na nina kipoto cha kawaida na nina kazi nzuri tuu!!ila nadhani naweza kuwa mwenyekiti wa chaputa!! na vile vile hua ninaposoma tread za kulizwa hapo tuu ndo hua sitaki kusikia hata stori za wanawake!!
Tatizo siyo story za kuumizwa unazozisikia,, wewe ni kwamba umeshaathirika kwa masterbation unahitaji tiba. Nakushauri uitafute
 
Bwana yesu asifiwe,

Nanguliza shukrani kwaiko wewe ambaye umesoma hapa,
Nina orodha ya udanganyifu niliowahi kufanyiwa na wenzangu ( wapenzi mbali mbali) ila niligundua.

1. Mmoja mwanafunzi wa chuo flan pale karibu na mkulu aliniambia nimpe hela akatoe mimba yangu maana ana mimba ya miezi miwili, nikampa laki na nusu kumbe anamtumia men wake kakwama Morogoro, dah nikagundua nikauchuna,

2. Mwingine aliwahi kunambia nisiende alipopanga maana kuna mtoto wa mamamdogo wake kutoka arusha , nikasema sawa lakin nikanyata taratibu nkachungulia nkakuta njemba imemuweka kifuani dar nikashuhudia live yan, nikagonga hodi akasema sikujui,

3. Mwingine akanambia kuwa ana maombi kanisani usiku kumbe ana mimba ya mshikaji mwingine anaenda kutoa , nikagundua,

4. Mwingine akawa anatembea na mshikaji mtaani eti ni mtoto wa shangazi, yaan mpaka sasa sina hamu

Je wewe uliwahi kudanganywa kipi na ukagundua?
Twambie tupate funzo
Na wewe ungesema uliyowadanganya
 
Wanaume watatu tuliambiwa tumemjaza mimba mwanamke mmoja,kila mmoja aliambiwa kwa wakati wake na kila mmoja akatoa pesa ya kutolea mimba,Mimi nikajakujua miaka sita baadae
 
Daah mimi mpenzi wangu hapo alipopanga kuna mpangaji mwenzake ambaye kaolewa,na ni marafiki wa kushibana mnoo,yaani marafiki haswa,ila sasa mimi kila ninapokuwa na huyo demu wangu akipita bwana wa yule rafiki yake,yule bwana huwa ananisalimia mimi tuu,hamsalimii huyo mwanamke wangu,siku moja nikamuuliza huyo mwanamke wangu,mbona yule mume wa rafiki yako akitukuta wawili huwa ananisalimia mimi tuu tena kwa jina,wewe hakusalimii?akanijibu yule ndio binadamu ambaye hasalimiani naye kabisa maishani,mwanaume malaya mke wake akisafiri anaingiza malaya tuu ndani,namchukia sana,akahitimisha mpenzi wangu,baada ya muda huyo mwanaume na mkewe wakahama tena wakahamia goba sisi tukiishi magomeni,Sikuamini macho yangu,siku moja narudi kuangalia mbele mida kama ya saa saba usiku nakuta watu wananyonyana mate gizani,kusogelea ni mpenzi wangu na huyo mume wa rafiki yake,na wote waliniona,alafu kipindi hiko huyo mwanamke wangu ni mjamzito,huwezi amini mwanamke kaamua kuondoka kaenda kwao kigoma na namba kabadisha simpati,niliumia sana na hili tukio ni la juzi juzi tuu hata mwezi haujapita!
Pole mkuu ndo maana huwa watu wengi sana huwa wanauliza mapenzi maana yaje nini? Na bado hawajapata majibu sahihi had leo.
 
My first boyfriend kuna siku aliniambia atasafiri atatoka Iringa ambako na mm nilikua naishi ataenda Dar hvyo nionane nae nikasema sawa.Tulionana nikamuambia nikusindikize stendi hyo kesho akakataa akasema ataenda tu mwenyewe nikasema sawa. Usiku umefika nachat nae namuambia nitakumiss ananiambia usijar baada ya 2weeks narud .Kesho asubuhi akanipigia baby mm ndio naondoka ubak salama nikamuambia safar njema kumbe hajasafir wala nini hataki tu kuonana na mm kwa kipindi hicho. Kuna rafik ang akanipigia smu nimemuona shemej, namuuliza wap ananiambia nmekutana nae mjin ila yeye hajaniona nikamuambia mbona kasafiri, akaniambia kamuona live ni yeye.Nilichoka nikakauka kimya ilipofika jion akanipigia smu nmefika salama nkamuambia sawa. Kesho yake nikamuibukia kwake na nikamkuta hata sikutaka maneno nikamuuliza tu hapa ndo Dar? Hana majibu. Tulikuja kuachana kwa sababu zingine tu lkn nikikumbuka huwa nacheka tu!!!
ulimdaka patamuu...
 
Unaleta habari ya uashersti na uzinifu halafu pumbafu unaanza na bwana yesu asifiwe.
Asifiwe na nani? Ndio mafundisho yanasrma uzini au ndio sifa za yesu nyambaaaaafuuuuu

Bwana yesu asifiwe,

Nanguliza shukrani kwaiko wewe ambaye umesoma hapa,
Nina orodha ya udanganyifu niliowahi kufanyiwa na wenzangu ( wapenzi mbali mbali) ila niligundua.

1. Mmoja mwanafunzi wa chuo flan pale karibu na mkulu aliniambia nimpe hela akatoe mimba yangu maana ana mimba ya miezi miwili, nikampa laki na nusu kumbe anamtumia men wake kakwama Morogoro, dah nikagundua nikauchuna,

2. Mwingine aliwahi kunambia nisiende alipopanga maana kuna mtoto wa mamamdogo wake kutoka arusha , nikasema sawa lakin nikanyata taratibu nkachungulia nkakuta njemba imemuweka kifuani dar nikashuhudia live yan, nikagonga hodi akasema sikujui,

3. Mwingine akanambia kuwa ana maombi kanisani usiku kumbe ana mimba ya mshikaji mwingine anaenda kutoa , nikagundua,

4. Mwingine akawa anatembea na mshikaji mtaani eti ni mtoto wa shangazi, yaan mpaka sasa sina hamu

Je wewe uliwahi kudanganywa kipi na ukagundua?
Twambie tupate funzo
 
Kuna manzi aliwahi kunizungusha sana, alinichomoa hela nyingi huku akijifanya bado yeye ni bikra, tusubiri ndoa na kwavile kipindi kile early 20's sikua nimekomaa kihivo kuhusu hawa manzi alinipelekesha aisee, Alikua Mtoto kasimama kinoma na yale mabuibui ya madrasa yalinifanya niamini amini anachosema japokua nafsi ilikua inakataa.
Baada ya kupita kama miezi karibu minne, nilikuja pata gazeti lake kama kuna vijana walishamla, Sikupandwa na pupa kabisa niliendelea kulaza shingo. Vocha za kila siku zilikua zinanaiumiza sana ila nilikua naendelea kukomaa nikiamini ipo siku atajipindua. Na kweli ipo siku alijikanyaga akaingia geto huku akiendelea kukomoa na msimamo wake wa kuwa Bikra. papatu papatu tukaishia kukubaliana Brash, Hapo sasa ndipo nilipokuja kugundua achilia mbele Hata Tundu La Nyuma lipo wazi aisee. nilimvizia na kumueka timing nikamshindilia Rungu la Tigo. Kilichofata hapo mpaka leo hakisahua. Mana nilijiandaa vya kutosha hiyo siku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom