Je, umewahi kuachana ndani ya muda mfupi na mpenzi wako mliyependana sana?

feraday10

Member
Aug 30, 2020
34
19
Moja kwa moja niende katika mada

Maisha ni safari ndefu sana na wengne hupenda kusema maisha ni mzunguuko, kila mtu husema lake kulingana na sababu zake.

Katika mizunguuko yangu kipindi hicho nasoma Mchikichini Tuition kwa mbuga nilikutana na Mwanamke mzuri sana ya kiarabu

‘Mtoto’ alinielewa sana nami nilimwelewa alifikia hatua hadi ya kunilipia mapindi na kunipeleka hadi kwao kwa dada ake na dada yake alikuwa ni mwalimu

Lakini muuni kipindi hicho nilikuwa najiamini Sana maana nilikuwa nasoma shule moja ya kipaji mjini Morogoro

Lakini cha kushangaza hayo mapnzi yalidumu mwezi mmoja tu kipindi cha likizo, ilivyoisha likizo tukaagana simu tulikuwa hatuna wote ndiyo hatukuonana tena hadi leo

Je, ishawahi kukutokea na wewe?
 
Niliipeenda simu yangu mpya niliinunua kariakoo kufika home sioni...ilidumu masaa yasiyofika mawili
 
Back
Top Bottom