Dhana ya "kumbemenda mtoto"

Wakuu naomba kuuliza.
Je mtoto akiwa na afya njema ila amechrlewa kutembea hapo inakuaje wajuvi(mtoto ana mwaka na miezi mi wili ni wa kiume)
Kuchelewa kutembea Ni kawaida. Watoto hawafanani, mwingine anatembea na miezi 9 mwingine Hadi miaka miwili.
 
Ni
Umekosea dhana/Maana kuu neno “Kubemenda Mtoto “ mtu anaposema amembenda mtoto ni ile hali ya mwanamke ambaye ametoka kujifungua na angali bado mtoto ananyonya akaanza kushiriki tendo la ndoa/ngono na mwanamme ambaye si mume wake ambaye amezaa nae huyo mtoto. Au dhana hiyo pia humaanisha mwanamme aliyetoka kumzalisha mkewe ambaye bado ananyonyesha mtoto huyu mwanamme ndani ya kipindi hiki akaanza kungonoka na wanawake wengine huku pia akirudi kula mzigo kwa mkewe anaye nyonyesha!!
Hizi ndo imani zinazotawala suala hili! Ila sio mme halali kufanya ngono na mkewe wakati akinyonyesha tu! Hiyo mbona kawaida Mzee baba!! Hiyo sio kubemenda. Ila pamoja na maelezo hayo sina uhakika na dhana hii, ila kweli baadhi ya watoto hudhoofika.
[/QUOTEwewe ndo umeiweka vizuri
 
Binti yangu ana miez mi5 ananyonyeshwa tu maziwa ya mama, ila kuanzia juzi tukiwa tunakula anatamani sana kula nimeamua Leo kumuanzishia uji hata kabla ya hiyo miez 6
 
Kumbemenda mtoto ni mtoto kutokua vizuri ikidhaniwa kutokea kutokana na mama anayenyonyesha mtoto kukutana kimapenzi na mwenzi wake hasa kipindi mtoto bado ni mchanga na ananyonyeshwa.

Hii ni dhana iliyopo katika jamii mbalimbali, na inadhaniwa hutokea kwa sababu mtoto kunyonya maziwa yenye mbegu za kiume zilizoingia kwenye maziwa baada ya kufanya mapenzi.

Je, kuna ukweli wowote?
Hapana. kiukweli na kiutaalamu dhana hii si sahihi kabisa! Kufanya mapenzi na mwenzi wako baada ya kujifungua hakuwezi kusababisha afya ya mtoto kuzorota. mwanamke anapokutana na mwanaume kimapenzi, shahawa huingia kwenye tumbo la uzazi na kubaki huko. haziingii kwenye damu wala haziwezi kufika kwenye maziwa. dhana ya kuwa shahawa huingia kwenye maziwa na kumuathiri mtoto sio sahihi.

Ni baada ya muda gani mwanamke aliyejifungua anaweza kufanya mapenzi?
unaweza kuanza kufanya mapenzi tena baada ya maji maji yenye damu ya uke (lochia) kuacha kutoka ambayo ni kama wiki 3 mpaka 4 baada ya kujifungua, na wewe kujisikia vizuri na kuwa tayari kushiriki katika mapenzi. pia, mnaweza kusubiri mpaka wiki 6 zipite toka ulivyojifungua.

Je, kuna athari yoyote ya kufanya mapenzi baada ya kujifungua?
Kufanya mapenzi baada ya kujifungua hakuwezi kuleta madhara kwa mtoto endapo hamna maambukizi ya magonjwa kama virusi vya ukimwi (vvu). ikiwa mwanaume ana vvu anaweza kumuambukiza mama na kisha mtoto kuambukizwa kupitia maziwa ya mama.

Ikiwa mnafanya mapenzi kabla ya damu damu ya ukeni kukata, maambukizi ya bakteria yanaweza kutokea kwenye tumbo la uzazi (endometritis). pia kuna uwezekano wa mama kupata ujauzito miezi 6 ya kwanza ya kunyonyesha.

Nini kinasababisha afya ya mtoto kuzorota?

Kama tulivyoona, kufanya mapenzi hakusababishi mtoto kubemendwa. afya ya mtoto inaweza kuzorota kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo;

Kukosa maziwa ya mama ya kutosha.
Mtoto kushindwa kunyonya vizuri
Kuanzishiwa vyakula vya ziada mapema, kabla mtoto hajafikisha miezi 6 au vyakula visivyo na viritubisho vya kutosha.
Homa, nimonia na maambukizi ya mfumo wa mkojo (uti) za mara kwa mara.
Maambukizi ya magonjwa kama virusi vya ukimwi (vvu) au kifua kikuu.
Matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo (congenital heart diseases).

Kufanya mapenzi na mwenzi wako hakusababishi mtoto kubemendwa. baada ya kujifungua mtoto hutegemea kupata lishe bora kutoka kwenye maziwa ya mama, hivyo nyonyesha mtoto wako vizuri. ukiona ukuaji wake unazorota, onana na daktari.
Hujui maana ya kubemenda ndugu,rudi kafanye utafiti upya, wacha nikupe maana kidogo tu kubemenda.

Japo sio maana rasmi,kubemenda ni udhaifu anaopata mtoto mchanga...chini ya mwaka mmoja kutokana wanandoa mmoja au wote kwa pamoja kutokuwa waaminifu....au mama anayenyonyesha kushiba mimba tena kabla mtoto hajafikia umri wa angalau mwaka mmoja.

Kienyeji wanasema kinachotokea hapo ni lile jasho linalobaki kwa mama au baba baada ya kutoka kuchepuka ndilo linalomuathiri mtoto,lakini pia mama akishiba mimba,yale maziwa hubadilika na kuwa majimaji sana.

Kuepuka changamoto hizo kwa wanadoa wachepukaji, kwa mwanaume ni uhakikishe unaoga vizuri sana baada ya show,na ikibidili kabla ya show hy ya ugenini...vua nguo na uziweke mbali kweli, ukirudi nyumbani pia hakikisha haumshiki mtoto hadi umeoga na kubadili nguo,hili ni rahisi.

Kwa wanawake huwa kunadawa wanakula, anapiga gemu za nje na mtoto anabaki pouwa, ila akishiba mimba ya mapema,shrt ni mtoto aache kunyonya na jadi inafanyika mambo yanakuwa mswano.

Kafyatilie vizuri....mie huwa naamsha popo siku 40 tu baada ya dogo kuzaliwa na hakuna kibay.
 
Kumbemenda mtoto ni mtoto kutokua vizuri ikidhaniwa kutokea kutokana na mama anayenyonyesha mtoto kukutana kimapenzi na mwenzi wake hasa kipindi mtoto bado ni mchanga na ananyonyeshwa.

Hii ni dhana iliyopo katika jamii mbalimbali, na inadhaniwa hutokea kwa sababu mtoto kunyonya maziwa yenye mbegu za kiume zilizoingia kwenye maziwa baada ya kufanya mapenzi.

Je, kuna ukweli wowote?
Hapana. kiukweli na kiutaalamu dhana hii si sahihi kabisa! Kufanya mapenzi na mwenzi wako baada ya kujifungua hakuwezi kusababisha afya ya mtoto kuzorota. mwanamke anapokutana na mwanaume kimapenzi, shahawa huingia kwenye tumbo la uzazi na kubaki huko. haziingii kwenye damu wala haziwezi kufika kwenye maziwa. dhana ya kuwa shahawa huingia kwenye maziwa na kumuathiri mtoto sio sahihi.

Ni baada ya muda gani mwanamke aliyejifungua anaweza kufanya mapenzi?
unaweza kuanza kufanya mapenzi tena baada ya maji maji yenye damu ya uke (lochia) kuacha kutoka ambayo ni kama wiki 3 mpaka 4 baada ya kujifungua, na wewe kujisikia vizuri na kuwa tayari kushiriki katika mapenzi. pia, mnaweza kusubiri mpaka wiki 6 zipite toka ulivyojifungua.

Je, kuna athari yoyote ya kufanya mapenzi baada ya kujifungua?
Kufanya mapenzi baada ya kujifungua hakuwezi kuleta madhara kwa mtoto endapo hamna maambukizi ya magonjwa kama virusi vya ukimwi (vvu). ikiwa mwanaume ana vvu anaweza kumuambukiza mama na kisha mtoto kuambukizwa kupitia maziwa ya mama.

Ikiwa mnafanya mapenzi kabla ya damu damu ya ukeni kukata, maambukizi ya bakteria yanaweza kutokea kwenye tumbo la uzazi (endometritis). pia kuna uwezekano wa mama kupata ujauzito miezi 6 ya kwanza ya kunyonyesha.

Nini kinasababisha afya ya mtoto kuzorota?

Kama tulivyoona, kufanya mapenzi hakusababishi mtoto kubemendwa. afya ya mtoto inaweza kuzorota kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo;

Kukosa maziwa ya mama ya kutosha.
Mtoto kushindwa kunyonya vizuri
Kuanzishiwa vyakula vya ziada mapema, kabla mtoto hajafikisha miezi 6 au vyakula visivyo na viritubisho vya kutosha.
Homa, nimonia na maambukizi ya mfumo wa mkojo (uti) za mara kwa mara.
Maambukizi ya magonjwa kama virusi vya ukimwi (vvu) au kifua kikuu.
Matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo (congenital heart diseases).

Kufanya mapenzi na mwenzi wako hakusababishi mtoto kubemendwa. baada ya kujifungua mtoto hutegemea kupata lishe bora kutoka kwenye maziwa ya mama, hivyo nyonyesha mtoto wako vizuri. ukiona ukuaji wake unazorota, onana na daktari.
Umeeleza vyema
Ila tafadhali@Mshana Jr tunaomba uje utueleze kwa upande wenu imekaaje....

Mimi ninachofahamu ni hivi..
Lile jasho la baada ya kufanya mapenzi halafu ukamaliza ukamshika mtoto ndipo vurugu ili ipo sio maziwa ya mama issue ni jasho la wenza sasa sijui niko sahihi

Mkifanya mapenzi kisha mkaenda kuoga baada ya hapo hakuna shida yoyote ila kumshika kumkumbatia mtoto bila huoga lile jasho ndipo linambemenda mtoto..pia sio mwenza tu hata kuchepuka pia
 
Haya maelezo ni mazuri, lakini kubemenda mtoto inaeleweka ni "Mwanamke mwenye mtoto mchanga kushiriki ngono na mwanaume/wanaume ambao siyo baba wa huyo mtoto.
Hakuna kitu kama hicho hayo yote ni mawazo potofu hatari nibkushika mimba wakati bado mtoto mchanga kea sababu mimba mpya itaadhiri utengenezaji wa maziwa ingawa hadi athari zionekane ni kama baada ya mimba kufika wiki 12 hadi 16

Hizo habari sijui za mama kufanya mapenzi na mtu mwingine sijui baba kufanya nini huo wote ni uongo na uzushi maana hakuna kipindi ambacho kibaba wana toka nje ya ndoa kama kipindi ambacho wake zao wana nyonyesha nadhanii kama ingekuwa hivyo basi watoto sehemu kubwa wangekuwa wameharibika

Na kingine dhana ya kubemenda ni kuathirikia kwa ukuaji wa mtoto kunako tokana na kukosekana kwa virutubisho muhimu mwilini msipotoshane.
 
Umeeleza vyema
Ila tafadhali@Mshana Jr tunaomba uje utueleze kwa upande wenu imekaaje....

Mimi ninachofahamu ni hivi..
Lile jasho la baada ya kufanya mapenzi halafu ukamaliza ukamshika mtoto ndipo vurugu ili ipo sio maziwa ya mama issue ni jasho la wenza sasa sijui niko sahihi

Mkifanya mapenzi kisha mkaenda kuoga baada ya hapo hakuna shida yoyote ila kumshika kumkumbatia mtoto bila huoga lile jasho ndipo linambemenda mtoto..pia sio mwenza tu hata kuchepuka pia
Kikubwa ni usafi ingawa tatizo hasa huwa lipo endapo mmefanya mapenzi halafu ukabaki na uchafu mikononi maana kama unavyo jua mara upige katerero mara uingize vidole ukeni

sasa usipo nawa na bahati mbaya ukamshika mtoto katika mwili au mikono na mtoto akapeleka mkon wake ulio ushika kinywani huku ukiwa na shahawa au maji maji ya ukeni ambayo yanaweza kuwa na maambukizi hapo ndipo tatizo laweza kuanza na huwa mi magonjwa na sio hicho mnacho sema eti kubemenda , ndio maana hata kama umefanya mapenzi na mumeo au asiye mumeo au mkeo au aiye mkeo swala la msingi hapo ni usafi tuuu. Ukioga hakuna shida yeyote
 
Umekosea dhana/Maana kuu neno “Kubemenda Mtoto “ mtu anaposema amembenda mtoto ni ile hali ya mwanamke ambaye ametoka kujifungua na angali bado mtoto ananyonya akaanza kushiriki tendo la ndoa/ngono na mwanamme ambaye si mume wake ambaye amezaa nae huyo mtoto. Au dhana hiyo pia humaanisha mwanamme aliyetoka kumzalisha mkewe ambaye bado ananyonyesha mtoto huyu mwanamme ndani ya kipindi hiki akaanza kungonoka na wanawake wengine huku pia akirudi kula mzigo kwa mkewe anaye nyonyesha!!
Hizi ndo imani zinazotawala suala hili! Ila sio mme halali kufanya ngono na mkewe wakati akinyonyesha tu! Hiyo mbona kawaida Mzee baba!! Hiyo sio kubemenda. Ila pamoja na maelezo hayo sina uhakika na dhana hii, ila kweli baadhi ya watoto hudhoofika.
Hakuna ukweli katika ili.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kumbemenda mtoto ni mtoto kutokua vizuri ikidhaniwa kutokea kutokana na mama anayenyonyesha mtoto kukutana kimapenzi na mwenzi wake hasa kipindi mtoto bado ni mchanga na ananyonyeshwa.

Hii ni dhana iliyopo katika jamii mbalimbali, na inadhaniwa hutokea kwa sababu mtoto kunyonya maziwa yenye mbegu za kiume zilizoingia kwenye maziwa baada ya kufanya mapenzi.

Je, kuna ukweli wowote?
Hapana. kiukweli na kiutaalamu dhana hii si sahihi kabisa! Kufanya mapenzi na mwenzi wako baada ya kujifungua hakuwezi kusababisha afya ya mtoto kuzorota. mwanamke anapokutana na mwanaume kimapenzi, shahawa huingia kwenye tumbo la uzazi na kubaki huko. haziingii kwenye damu wala haziwezi kufika kwenye maziwa. dhana ya kuwa shahawa huingia kwenye maziwa na kumuathiri mtoto sio sahihi.

Ni baada ya muda gani mwanamke aliyejifungua anaweza kufanya mapenzi?
unaweza kuanza kufanya mapenzi tena baada ya maji maji yenye damu ya uke (lochia) kuacha kutoka ambayo ni kama wiki 3 mpaka 4 baada ya kujifungua, na wewe kujisikia vizuri na kuwa tayari kushiriki katika mapenzi. pia, mnaweza kusubiri mpaka wiki 6 zipite toka ulivyojifungua.

Je, kuna athari yoyote ya kufanya mapenzi baada ya kujifungua?
Kufanya mapenzi baada ya kujifungua hakuwezi kuleta madhara kwa mtoto endapo hamna maambukizi ya magonjwa kama virusi vya ukimwi (vvu). ikiwa mwanaume ana vvu anaweza kumuambukiza mama na kisha mtoto kuambukizwa kupitia maziwa ya mama.

Ikiwa mnafanya mapenzi kabla ya damu damu ya ukeni kukata, maambukizi ya bakteria yanaweza kutokea kwenye tumbo la uzazi (endometritis). pia kuna uwezekano wa mama kupata ujauzito miezi 6 ya kwanza ya kunyonyesha.

Nini kinasababisha afya ya mtoto kuzorota?
Kama tulivyoona, kufanya mapenzi hakusababishi mtoto kubemendwa. afya ya mtoto inaweza kuzorota kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo;

Kukosa maziwa ya mama ya kutosha.
Mtoto kushindwa kunyonya vizuri
Kuanzishiwa vyakula vya ziada mapema, kabla mtoto hajafikisha miezi 6 au vyakula visivyo na viritubisho vya kutosha.
Homa, nimonia na maambukizi ya mfumo wa mkojo (uti) za mara kwa mara.
Maambukizi ya magonjwa kama virusi vya ukimwi (vvu) au kifua kikuu.
Matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo (congenital heart diseases).

Kufanya mapenzi na mwenzi wako hakusababishi mtoto kubemendwa. baada ya kujifungua mtoto hutegemea kupata lishe bora kutoka kwenye maziwa ya mama, hivyo nyonyesha mtoto wako vizuri. ukiona ukuaji wake unazorota, onana na daktari.
kinachosemwa ni mama kufanya mapenzi na mwanamume mwingine tofauti na baba wa mtoto
 
Wanaume wa kiafrica wanabadilika siku hizi,wanazidisha upendo na kujali.Pia wameanza kujitambua kuwa uzazi ni jukumu la wazazi wote hasa huku mijini na hospitali kubwa na zile za gharama.
Pia kuna vipimo vingi vya kupima pamoja.Ila nimeelewa mshangao wake.
Mimi binafsi mke wangu kuanzia ujauzito wa kwanza mpaka sasa na miezi yote ya ujauzito sikosi kumpeleka clinic yeye pamoja na mtoto na wiki ijayo nitawapeleka wote mama na mtoto, kifupi mpaka hospital wamenizoea.

Ila wanaume tukibadilika kuwapeleka wenzi wetu clinic ni furaha kubwa sana wanapata wenza wetu, niishie hapa tu maana kazini kwa mwenza vipindi vya ujauzito huwa namfata mpaka baadhi ya wenzake huishia kunitamani na wanaongea wazi kabisa yaani natamani na mimi mume wangu angekuwa kama wewe.

Na katika kazi zangu niliwahikuwa namsindikiza kazi workmate mmoja kwa sababu hali yake haikuwa nzuri na msaada kwa bwana wake hakuwanao basi nilijitolea kumsaidia kwa kipindi hiko tuu.
 
hii huadhiri mahusiano ya mama na mtoto..japokuwa mama anapokuwa mjamzito akiwa na mtoto mdogo bado anashauriwa kuendelea kumnyonyesha kama kawaida kama hana shida yoyote kiafya...

ile dhana ya kuwapeleka watoto kwa ndugu ukiwa mjamzito ni imani potofu na ujinga..na hili ndilo huadhori ukuaji wa mtoto
Umekosea dhana/Maana kuu neno “Kubemenda Mtoto “ mtu anaposema amembenda mtoto ni ile hali ya mwanamke ambaye ametoka kujifungua na angali bado mtoto ananyonya akaanza kushiriki tendo la ndoa/ngono na mwanamme ambaye si mume wake ambaye amezaa nae huyo mtoto. Au dhana hiyo pia humaanisha mwanamme aliyetoka kumzalisha mkewe ambaye bado ananyonyesha mtoto huyu mwanamme ndani ya kipindi hiki akaanza kungonoka na wanawake wengine huku pia akirudi kula mzigo kwa mkewe anaye nyonyesha!!
Hizi ndo imani zinazotawala suala hili! Ila sio mme halali kufanya ngono na mkewe wakati akinyonyesha tu! Hiyo mbona kawaida Mzee baba!! Hiyo sio kubemenda. Ila pamoja na maelezo hayo sina uhakika na dhana hii, ila kweli baadhi ya watoto hudhoofika.
Kumbemenda mtoto ni mtoto kutokua vizuri ikidhaniwa kutokea kutokana na mama anayenyonyesha mtoto kukutana kimapenzi na mwenzi wake hasa kipindi mtoto bado ni mchanga na ananyonyeshwa.

Hii ni dhana iliyopo katika jamii mbalimbali, na inadhaniwa hutokea kwa sababu mtoto kunyonya maziwa yenye mbegu za kiume zilizoingia kwenye maziwa baada ya kufanya mapenzi.

Je, kuna ukweli wowote?
Hapana. kiukweli na kiutaalamu dhana hii si sahihi kabisa! Kufanya mapenzi na mwenzi wako baada ya kujifungua hakuwezi kusababisha afya ya mtoto kuzorota. mwanamke anapokutana na mwanaume kimapenzi, shahawa huingia kwenye tumbo la uzazi na kubaki huko. haziingii kwenye damu wala haziwezi kufika kwenye maziwa. dhana ya kuwa shahawa huingia kwenye maziwa na kumuathiri mtoto sio sahihi.

Ni baada ya muda gani mwanamke aliyejifungua anaweza kufanya mapenzi?
unaweza kuanza kufanya mapenzi tena baada ya maji maji yenye damu ya uke (lochia) kuacha kutoka ambayo ni kama wiki 3 mpaka 4 baada ya kujifungua, na wewe kujisikia vizuri na kuwa tayari kushiriki katika mapenzi. pia, mnaweza kusubiri mpaka wiki 6 zipite toka ulivyojifungua.

Je, kuna athari yoyote ya kufanya mapenzi baada ya kujifungua?
Kufanya mapenzi baada ya kujifungua hakuwezi kuleta madhara kwa mtoto endapo hamna maambukizi ya magonjwa kama virusi vya ukimwi (vvu). ikiwa mwanaume ana vvu anaweza kumuambukiza mama na kisha mtoto kuambukizwa kupitia maziwa ya mama.

Ikiwa mnafanya mapenzi kabla ya damu damu ya ukeni kukata, maambukizi ya bakteria yanaweza kutokea kwenye tumbo la uzazi (endometritis). pia kuna uwezekano wa mama kupata ujauzito miezi 6 ya kwanza ya kunyonyesha.

Nini kinasababisha afya ya mtoto kuzorota?
Kama tulivyoona, kufanya mapenzi hakusababishi mtoto kubemendwa. afya ya mtoto inaweza kuzorota kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo;

Kukosa maziwa ya mama ya kutosha.
Mtoto kushindwa kunyonya vizuri
Kuanzishiwa vyakula vya ziada mapema, kabla mtoto hajafikisha miezi 6 au vyakula visivyo na viritubisho vya kutosha.
Homa, nimonia na maambukizi ya mfumo wa mkojo (uti) za mara kwa mara.
Maambukizi ya magonjwa kama virusi vya ukimwi (vvu) au kifua kikuu.
Matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo (congenital heart diseases).

Kufanya mapenzi na mwenzi wako hakusababishi mtoto kubemendwa. baada ya kujifungua mtoto hutegemea kupata lishe bora kutoka kwenye maziwa ya mama, hivyo nyonyesha mtoto wako vizuri. ukiona ukuaji wake unazorota, onana na daktari.
Mi navyojua kubemenda ni mwanamke kupata ujauzito wakati bado ana kichanga
Nimehudhuria kliniki kuanzia day one mpaka mwisho.

Tendo litakua baada ya siku 40. Na siyo kwa vile kuna kubemenda ila ni kutokana na mama kurecover.

Lishe kwa mtoto ndiyo dawa akivikosa hivyo mbona raia utawasikia wanakuambia umebemenda mtoto kumbe mtoto hali.
kinachosemwa ni mama kufanya mapenzi na mwanamume mwingine tofauti na baba wa mtoto
Hakuna ukweli katika ili.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Na hiyo ndiyo dhana sahihi kabisa achana na huo upotoshaji mwingine
Kikubwa ni usafi ingawa tatizo hasa huwa lipo endapo mmefanya mapenzi halafu ukabaki na uchafu mikononi maana kama unavyo jua mara upige katerero mara uingize vidole ukeni

sasa usipo nawa na bahati mbaya ukamshika mtoto katika mwili au mikono na mtoto akapeleka mkon wake ulio ushika kinywani huku ukiwa na shahawa au maji maji ya ukeni ambayo yanaweza kuwa na maambukizi hapo ndipo tatizo laweza kuanza na huwa mi magonjwa na sio hicho mnacho sema eti kubemenda , ndio maana hata kama umefanya mapenzi na mumeo au asiye mumeo au mkeo au aiye mkeo swala la msingi hapo ni usafi tuuu. Ukioga hakuna shida yeyote
Hili naona kila mmoja analisema kwa imani aliyejulishwa yeye sasa ni vyema kila mmoja aamini anachokiamini kuliko kusema wewe unakosea wewe upo sawa hapa hii mada mtaizungumza miaka na wala haitaisha zaidi maelezo yatajirudia rudia tu.

KILA MMOJA AAMINI KILE ANACHOKIJUA JUU YA HILI SUALA NA ASIEJUA ASHIKE YALE ANAYOONA YANAENDANA NA MAWAZO/IMANI YAKE.
 
Kwahiyo kama uongo unasemwa tunyamaze?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Si dhana potofu hata kidogo.

Kitendo cha mama kutoka nje ya ndoa akiwa na mtoto kuna mabadiliko yanatokea mwilini.

1. Kwa kawaida mke anapofanya tendo la ndoa na mumewe( kama alikuwa wa kwanza kumuingilia),huwa kuna homoni iitwayo oxytocin,hutoka ili kumpa raha mama.Hii homoni huhusika kwa kiasi kikubwa katika uzalishaji wa maziwa kwa mama.Kwa hiyo mume halali akifanya naye tendo la ndoa,anamfanya azidi kutoa maziwa mengi.Hapa hakuna dhana ya kumbemenda.

2. Mwanamke yoyote,akishatoka tu nje ya ndoa,hata akiridhishwa,hawezi kutoa homoni ya oxytocin ambayo ndiyo inahusika kumpa raha kwa mumewe wa ndoa.Badala yake hutoka chemikali ambayo inaitwa dopamine.

Hii ni moja ya kemikali inayohusika na mtu kujisikia raha.Na hii hutoka katika matukio yote yanayompa raha mtu mfano kuangalia picha za pono,kupenda mitandao,kusifiwa na mtu unayempenda,kunywa kinywaji unachokipenda sana kama vile soda n.k
Kemikali hii haina mchango wowote katika kumsaidia mama kutoa maziwa.Huenda kwa sababu ya hii kuchukua nafasi ambayo ingefanywa na oxytocin,huenda ndiyo maana maziwa hupungua,na hatimae kuleta athari kwa mtoto anayenyonya,na kumfanya akadhoofu sana.
Zana ya kubemenda ni imani potofu.
 
Kubemenda mtoto sio suala la kufikiria kirahisi kama mtoa mada usemavyo,bali ni suala la kisayansi kabisa sema watu wengi hawana elimu hii,,,,
Kwa ninavyofahamu mimi mama anaenyonyesha akifanya mapenzi na baba wa huyo mtoto anaenyonyeshwa hamna madhara isipokuwa kama mama akifanya mapenzi na mtu mwingine ambaye sio baba wa huyo mtoto na manii ya huyo mwanaume kuingia kwenye mzunguko wa damu wa huyo mwanamke hapo shida kwa mtoto anyonyeshwae huanza.
Hii ni kutokana na muundo wa manii ya ulivyo:==
Mbegu za kiume huwa zina asidi ambayo huingia kwa mama kisha kwa mtoto na hii hutengeneza genetic factor,,kwa kifupi mtoto aliyezaliwa mwili wake huwa una chembechembe za asidi ya mbegu za baba mzazi ambazo hazina madhara kwa mtoto huyo maana na yeye amechukua copy,,
Mbegu za mwanaume mwingine huwa zina genetic information tofauti na za baba mzazi kwahiyo zikiingia kwa mama anaenyonyesha zitafika na kwa mtoto kutokana na mzunguko wa damu ya mama
Hapo ndipo mtoto huathirika kwasababu mbegu za huyo mwanaume mwingine huwa na taarifa tofauti na za baba halisi,,,hivyo mtoto huyo ndio tunasema amebemendwa
NI ELIMU NDEFU Naishia hapa kwa Leo
 
Mimi ninavyofahamu wakati wa ufanyaji wa mapenzi kuna baadhi ya hormone za mwanamke ambazo huwa stimulated na kuzalishwa na kwenda moja kwa moja kupitia kwenye damu na kwenda hadi kwenye maziwa ambazo hizo hormones ndizo huleta madhara kwa mtoto na sio shahawa ambazo huleta madhara. Naomba atoe ufafanuzi kuhusu hormone za mama zikiwa stimulated wakatj wa kufanya mapenzi zinaweza leta madhara kwa mtoto?
 
Back
Top Bottom