Je, umeshawahi kukutana na mtu aliekuwa hajui habari za Tanzania nae akiwa mtanzania anae ishi nje?

Kwa kuzingatia jinsi teknolojia ilivyosambaa hilo swali alilowauliza angeweza iuliza simu yake na akagewa majibu.

Kuna namna hii stori yako haiingii akilini.
 
Ilikuwa mwaka 2001 mwezi wa May

Lunatic
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom