Je, umeshawahi kukosea kutuma Ujumbe wa Mapenzi kwa mtu asiye mlengwa?

Whatsapp!!! sitaki hata kukumbuka angalau sasa hivi kuna delete for every one.

Daah kwa mara ya kwanza nilimuomba Mungu na mimi nipae kwenda mbinguni direct maana ile aibu sikuweza kuibeba.
Hahaa kama uliyemtumia anatumia whatsapp gb halafu kaifanyia setting hata ukifuta delete for everyone ..kwake text inabaki lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimtumia demu Msg ndefu ya Mapenzi alafu chini nikaandika Jina ambalo sio lake na hilo jina nililoandika lilikuwa la rafiki ake na yule manzi niliekosea kumtumia msg yani Week nzima demu akawa hajibu msg zangu maana tulikuwa mbali kimkoa enzi z akusoma hizo sasa baadae ndo akaja kunambia wewe ulinitumia msg gani???? ***** kuja kureview nkaona ile msg ndefu nzuri ya mahaba lakini chini nimeandika jina la rafiki ake badala ya jina lake... Ofcoz hivyo ndo nilivyomkosa yule manzi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mamaeee hahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo asubuhi kwenye mishale ya saa Tano (5 )na nusu " nilipokea simu toka kwa Mmoja wa rafiki zangu wakaribu (Joph) sio jina halisi .Ajabu ni kwamba alikuwa amenipigia na namba ngeni tofauti na ile ambayo nimeizoea siku zote

Baada ya kujuliana hali . Ikabidi nimuulize sababu za yeye kutumia namba ngeni kunipigia

Ndio akaanza kunipa Habari ambayo ilikuwa ina mnyima furaha na kumkosesha Amani kwa wakati ule " Na mpaka Jioni Tuliwasiliana Tena lakini bado hakuwa sawa ki-fikira ...Nina weza kusema kwamba kutwa nzima ya leo huyu mtu hakushinda vyema " ......

(1)ILIKUWA HIVI
===================
Rafiki yangu huyo (joph) alinipa mchapo kwamba baada ya Usiku wa Jana kufanikiwa kulala na Jennie (sio jina halisi) na kuivunja amri ya sita (6) kama ambavyo walivyo kuwa wamepanga"
Palivyo kucha jenie akadamka na kuelekea kazini kwake" Baada ya muda rafiki yangu na yeye akajiandaa na kwenda kazini kwake " .... so baada ya masaa kama mawili kupita Akaanza kuchat na Jennie huku wakiwa wana kumbushiana story zinazo husu namna usiku wa jana walivyo upitisha wakiwa pamoja "

Katika kutuma tuma sms (chatting ilikuwa imeshakolea )" Akajikuta anakosea na kumtumia Mama yake "

SMS YENYEWE ILIKUWA NA UJUMBE HUU My Jennie Mtoto mtamu wewe ..mapaja yako ang'avu yana ng'aa kama mbala mwezi ... Wakati nilipo kuwa na kunyonya ......... akili yangu yote ilihama " Una .......... inanukia vizuri''na jinsi ulivyo kuwa unatoa kilio cha Mahaba na kugugumia utamu " ndio nikawa napata mzuka wa kukunyonya zaidi "na weza kusema usiku wa jana nili enjoy kuliko nyakati zote za maisha yangu Chi-mamy

(MWISHO WA KUNUKUU)


rafiki yangu (joph) baada ya kubaini kwamba ile text haikwenda kwa mlengwa baada ya kukosea kutuma " Alichanganyikiwa hivyo basi akaamua kuzima simu ghafla " Hakutaka kupatikana kwa wakati huo alikuwa na hofu kwamba bimkubwa wake anaweza akampigia " ...

Swali nalirejesha kwenu sasa
=======================
Je kuna ambaye ambaye alishawahi kufikwa na situation kama hii iliyomfika rafiki yangu (joph)_ na kukosea kutuma text " Yenye Ujumbe wa Mapenzi kisha ikaenda kwa mtu ambaye ana muheshimu sana _ !?

Baada ya hilo tukio kujiri ili kuwaje kuwaje nini kilichoendelea !!?
Ningependa kujua Jinsi ambavyo ulivyo jisikia pia na ulivyo likabiri hilo tukio mpaka kuweza kurejea katika hali Yako ya kawaida _ "....

=====
KARIBUNI





Sent using Jamii Forums mobile app
Mama hakuna Shida kabisa,wamama wengi ni marafiki wa watoto wa kiume
 
Aisee mama ni rahisi kuelewa labda kama mama yako kama huna ushirikiano naye sana
Mama yangu nakosa nae vipi ushirikiano Chief wakati mzazi ndio rafiki wa kwanza .mkweli na muaminifu ...... But sijawahi kufikia hatua hiyo ya mama yangu kumuweka karibu katika hayo masuala ya mahusiano kwangu huwa ni aibu kubwa na huwa naona ni ukosefu wa heshima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikua anatumia simu gani?
Kwa simujanja kwa chat inayoendelea (kama ulivosema walikua tayar wanachat kabla ya hio SMS) Itakua inafunguka chat ileile inayoendelea na hvo huwezi kukosea SMS ukamtumia mtu mwingine. Labda Kama alikua anaandika new sms au alikua anatumia simujinga tofauti na hapo hii itakua ni chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa yako ana matumizi mabovu ya muda na simu.
Ana andika sms ndefu kama insha, kwanza anachezea muda na pili anachakaza screen ya simu.

Ni bora apige simu amsifie vizuri demu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo una muamulia mtu namna yakuishi ....hela ya kula unampa wewe !? Hela ya bundle je !? Simu nayo ulimnunulia !?

Kuwa OG aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kama anatumia analogy phone !? Hii itakuwa soup au sio !?
Alikua anatumia simu gani?
Kwa simujanja kwa chat inayoendelea (kama ulivosema walikua tayar wanachat kabla ya hio SMS) Itakua inafunguka chat ileile inayoendelea na hvo huwezi kukosea SMS ukamtumia mtu mwingine. Labda Kama alikua anaandika new sms au alikua anatumia simujinga tofauti na hapo hii itakua ni chai

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama yangu nakosa nae vipi ushirikiano Chief wakati mzazi ndio rafiki wa kwanza .mkweli na muaminifu ...... But sijawahi kufikia hatua hiyo ya mama yangu kumuweka karibu katika hayo masuala ya mahusiano kwangu huwa ni aibu kubwa na huwa naona ni ukosefu wa heshima

Sent using Jamii Forums mobile app
kwanza content ya hiyo msg ni nzito sana aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
si makosa ya kiufundi km makosa mengine boss,au?
Boss kwa hiyo makosa mengine ya kiufundi Unahisi kuwa hayawezi kuyagharimu maisha yako yaka kusababishia kupoteza heshima yako " kupoteza uaminifu .kazi ama mpenzi !?

Haujawahi kufanya makosa ya kiufundi kazini halafu management yako ikakushugulikia " ? ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss kwa hiyo makosa mengine ya kiufundi Unahisi kuwa hayawezi kuyagharimu maisha yako yaka kusababishia kupoteza heshima yako " kupoteza uaminifu .kazi ama mpenzi !?

Haujawahi kufanya makosa ya kiufundi kazini halafu management yako ikakushugulikia " ? ....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli,lkn kwa case km hiyo mkuu mama nimuelewa sn na anajua wewe ni kijana na umri ulionao tyr una mpnz,ukikosea atakusamehe bila shida
 
Ni kweli,lkn kwa case km hiyo mkuu mama nimuelewa sn na anajua wewe ni kijana na umri ulionao tyr una mpnz,ukikosea atakusamehe bila shida
Sikumaanisha kuwa mama hawezi kusamehe "...mzazi/wazazi kimsingi walisha samehe mambo mengi sana dhidi yetu tena mengine ni makubwa kabisa yale yenye ukubwa wa kuipaka kinyesi family katika jamii nakutoa taswira kuwa family fulani haifai lakini still huwa wanakuwa upande wetu "

Nilichouliza mimi au nilichotaka kufahamu ni..
(1) JE anajisikiaje mtu huyu aliyekosea kutuma text yenye content kama hiyo kwa mzazi wake "......

(2) haoni kuwa text kama hiyo inaweza changia kumfanya bimkubwa wako akuone muhimu na kuanza kujutafasiri tofauti na jinsi alivyo kuwa ana kuchukulia awali "

(3), halafu mkuu kukua hakumaanishi kwamba wazazi wetu wanakuwa ndio wametupatia kibali cha kuwa wazinifu



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom