Je, umeshawahi kukosea kutuma Ujumbe wa Mapenzi kwa mtu asiye mlengwa?

Mie nikiwa chuo nilimtumia mama(dada) yangu ujumbe wa bf, walah nilitamani kuudaka ule ujumbe hewani kabla haujamfikia.
Dada aliuchuna kama hajauona, kurudi nyumbani likizo nikakalishwa kuoewa nasaha, haki nilijisikia vibaya na aibu juu
Hahah
images(49).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hata alimtumia bi mkubwa japo ni aibu lakini inasitirika. Hiyo ukitaka kuiinjoy zaidi uwe na mke anayekuamini na kukupenda sana na unampenda pia halafu ukosee kama huyo Joph na huo ujumbe wake uende kwa wife. Itakujia hadi option ya kujiua
 
Dahh huo ni mtihani mkubwa sana
Yaweza kuwa ndio sababu itakayo pelekea family yako kuweza kusambaratika ... kwa ufupi tu jambo la msingi " Tunapo kuwa kwenye mahusiano imara na watu makini yatupasa tujitulize ..uhuni haufai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom