Je, umeshawahi kukosea kutuma Ujumbe wa Mapenzi kwa mtu asiye mlengwa?

1.Lazima ajisikie haya na a
Sikumaanisha kuwa mama hawezi kusamehe "...mzazi/wazazi kimsingi walisha samehe mambo mengi sana dhidi yetu tena mengine ni makubwa kabisa yale yenye ukubwa wa kuipaka kinyesi family katika jamii nakutoa taswira kuwa family fulani haifai lakini still huwa wanakuwa upande wetu "

Nilichouliza mimi au nilichotaka kufahamu ni..
(1) JE anajisikiaje mtu huyu aliyekosea kutuma text yenye content kama hiyo kwa mzazi wake "......

(2) haoni kuwa text kama hiyo inaweza changia kumfanya bimkubwa wako akuone muhimu na kuanza kujutafasiri tofauti na jinsi alivyo kuwa ana kuchukulia awali "

(3), halafu mkuu kukua hakumaanishi kwamba wazazi wetu wanakuwa ndio wametupatia kibali cha kuwa wazinifu

Sent using Jamii Forums mobile app
1.lazima ajisikie aibu na haya,,hiyo iko open kbs
2.Asa kwani bmkubwa hajui km kijana wake anajihusisha na mapnz!? kama anafahamu hilo basi ht akiona hiyo sms hatashangaa sn,lkn ni kweli kiuhalisia itamshtua kdg sababu ya content na hiyo ni kwa wazazi wetu wa kibongo bongo,naamini wathungu hawako complicated kiivyo.
3.hahah asa mkuu hisia ndio zinasumbua,si unajua ujana tena boss,,huhuhu
 
Haya bwana. Sitaki kuongea sana _ maana haukawii kuniona Tundu lissu wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu " ila inahitaji uwe jasiri sana aise

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yashaharibika na huyo ni mzazi wako naamini kwa kuwa ni mtu mkubwa na anajitegemea hashindwi kuomba radhi na likapita. Imeshatokea kwa bahati mbaya nilituma ujumbe ambao si sahihi kwa mtu (baba mdogo). Nilichofanya ni kumtumia ujumbe kuomba samahani pale pale nilipogundua ujumbe umeenda kwa mlengwa ambaye sie, na tukaendelea na mawasiliano ya kawaida ila najua kuwa kuna imani flani alikuwa nayo kwangu itakuwa imetoka. Ila nilijufunza kuwa makini zaidi maana ule ujumbe ungeweza kwenda kwenye group la harusi ya ndugu yangu na ingekuwa hatari. (Nilishukuru kuwa alipata mtu mmoja tu)
 
Aisee " hapo kwenye uvunjivu wa imani ndio haswaa nilipo kuwa na palenga " ...

Nimependa ulivyo namna ambavyo ulivyo malizia kwa kutoa ushauri dhidi ya umakini katika suala la utumaji wa sms maana usipo kuwa makini unaweza kusababisha uvunjifu wa mahusiano ya kindugu .mapenzi .urafiki etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo asubuhi kwenye mishale ya saa Tano (5 )na nusu " nilipokea simu toka kwa Mmoja wa rafiki zangu wakaribu (Joph) sio jina halisi .Ajabu ni kwamba alikuwa amenipigia na namba ngeni tofauti na ile ambayo nimeizoea siku zote

Baada ya kujuliana hali . Ikabidi nimuulize sababu za yeye kutumia namba ngeni kunipigia

Ndio akaanza kunipa Habari ambayo ilikuwa ina mnyima furaha na kumkosesha Amani kwa wakati ule " Na mpaka Jioni Tuliwasiliana Tena lakini bado hakuwa sawa ki-fikira ...Nina weza kusema kwamba kutwa nzima ya leo huyu mtu hakushinda vyema " ......

(1)ILIKUWA HIVI
===================
Rafiki yangu huyo (joph) alinipa mchapo kwamba baada ya Usiku wa Jana kufanikiwa kulala na Jennie (sio jina halisi) na kuivunja amri ya sita (6) kama ambavyo walivyo kuwa wamepanga"
Palivyo kucha jenie akadamka na kuelekea kazini kwake" Baada ya muda rafiki yangu na yeye akajiandaa na kwenda kazini kwake " .... so baada ya masaa kama mawili kupita Akaanza kuchat na Jennie huku wakiwa wana kumbushiana story zinazo husu namna usiku wa jana walivyo upitisha wakiwa pamoja "

Katika kutuma tuma sms (chatting ilikuwa imeshakolea )" Akajikuta anakosea na kumtumia Mama yake "

SMS YENYEWE ILIKUWA NA UJUMBE HUU My Jennie Mtoto mtamu wewe ..mapaja yako ang'avu yana ng'aa kama mbala mwezi ... Wakati nilipo kuwa na kunyonya ......... akili yangu yote ilihama " Una .......... inanukia vizuri''na jinsi ulivyo kuwa unatoa kilio cha Mahaba na kugugumia utamu " ndio nikawa napata mzuka wa kukunyonya zaidi "na weza kusema usiku wa jana nili enjoy kuliko nyakati zote za maisha yangu Chi-mamy

(MWISHO WA KUNUKUU)

rafiki yangu (joph) baada ya kubaini kwamba ile text haikwenda kwa mlengwa baada ya kukosea kutuma " Alichanganyikiwa hivyo basi akaamua kuzima simu ghafla " Hakutaka kupatikana kwa wakati huo alikuwa na hofu kwamba bimkubwa wake anaweza akampigia " ...

Swali nalirejesha kwenu sasa
=======================
Je kuna ambaye ambaye alishawahi kufikwa na situation kama hii iliyomfika rafiki yangu (joph)_ na kukosea kutuma text " Yenye Ujumbe wa Mapenzi kisha ikaenda kwa mtu ambaye ana muheshimu sana _ !?

Baada ya hilo tukio kujiri ili kuwaje kuwaje nini kilichoendelea !!?
Ningependa kujua Jinsi ambavyo ulivyo jisikia pia na ulivyo likabiri hilo tukio mpaka kuweza kurejea katika hali Yako ya kawaida _ "....

=====
KARIBUNI

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo huyo rafiki yako Joph hawezi kufungua Uzi hapa JF akaelezea kikamilifu jinsi tukio lilivyokuwa? Kwa kimbelembele chako umeona bora umfungulie uzi!
 
Kwa hiyo huyo rafiki yako Joph hawezi kufungua Uzi hapa JF akaelezea kikamilifu jinsi tukio lilivyokuwa? Kwa kimbelembele chako umeona bora umfungulie uzi!
don't take it Serious aise... haya ni maisha tu ukiwa negative sana utakuwa sadist bure
 
Back
Top Bottom