Je, umepoteza data muhimu katika computer ya ko sasa unahangaika jinsi ya kuzipata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, umepoteza data muhimu katika computer ya ko sasa unahangaika jinsi ya kuzipata

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Ishaka, Jan 26, 2012.

 1. Ishaka

  Ishaka Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Ninatoa huduma ya kurudisha data (data recovery) kwa hakika, haijarishi ni siku ngapi zimepita na wala kwamba kuna waliotangulia walijaribu wakashindwa. Software zangu niza viwango katika ubora. usikate tamaa niite nitakushangaza! Natoa wito kwa watu binafsi, mashirika, mabenki, makampuni, Vyuo, Taasisi, wizara, Balozi, Bunge, Jeshi, NGO's n.k kutokuwa na hofu au kunyoosha mikono kirahisi data zenu katika computer inapotokea bahati mbaya zikapotea kutokana na computer kuharibika au virus kushambulia. Mimi ndiye - solution provider, garama zangu nafuu.
   
 2. M

  MABAGHEE JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nilipoteza data zangu na laptop yangu ilishaformatiwa upya. Je utaweza kuzipata? niandikie mabaghee@yahoo.com
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  hawa wapo wengi, kazi utapata tu mkuu.
   
Loading...