Je! Umehitimu chuo na huna ajira?

Feb 7, 2015
30
12
Habari wana JF,

Mimi ni Mjasiriamali mwenye umri wa 20' yrs. Nimesoma Bachelor of Science in Computer Science Software Engineering, nimejiajiri kwenye industry ya IT.

Nimefungua ofisi Sinza Makaburini mtaa wa sokoni. Ofisi imesajiliwa Brela na TRA, pia ofisi ina furniture (Meza za ofisi Mbili, Viti vya ofisi viwili, Viti vya kukaa wateja vitatu, Computer Desktop 1, Office jet Printer 1)

Ofisi ina mazingira mazuri sana na ipo sehemu nzuri na tayari inafanya kazi kwa takribani miezi mi4 na ina wateja.

HIVYO BASI:

Nahitaji mtu mmoja (1) mwenye mitazamo chanya ya kibiashara kushirikiana nae kwenye ofisi hii, awe na vigezo vifuatavyo;

  1. Awe na Taaluma ya Computer Science, Computer Engineering, IT au Software Engineering
  2. Awe na uwezo wa kufanya vitu na siyo mzuri wa kueleza NOTES zinasema nini hasa katika sehemu hizi; Software Development, Networking, Pc Maintenance, na Entrepreneurship na Good Customer Care
  3. Awe na kazi kama mifano ambazo alishawahi kufanya
  4. Asiwe ameajiriwa au mwenye mawazo ya kuajiriwa hivyo kukwamisha malengo tutakayojiwekea
  5. Awe ana uwezo wa kufanya kazi katika mazingira magumu, hasa wakati wa kutafuta wateja na kipindi cha wateja wachache/hakuna
  6. Awe na Ujasiri wa kufanya biashara na kuthubutu hata palipo na hali ngumu

JINSI YA USHIRIKA;

  1. Mtu huyu atakuwa sehemu ya Partnership kihalali na tutashirikiana katika kila Jambo la ofisi.
  2. Mapato yatakayopatikana yatakuwa ni ya ofisi, na faida tutagawana sawa kipindi tutakapoona inafaa kugawana kulingana na mipango ya ofisi
  3. Tutashirikiana kuandaa mikakati ya jinsi ya kupata wateja na kukuza ofisi zaidi

NINI KINAHITAJIKA TOKA KWAKE;

  1. Mshirika huyu atatakiwa kuwa na Computer either Desktop or Laptop yenye uwezo mkubwa wa kufanya kazi na kuhifadhi data
  2. Awe na Mchango kama sehemu ya mchango wake wa kodi. Kiasi cha Tsh. 360,000/- (Kodi ya Miezi 6, March - August)
  3. Aje na vyeti katika kozi tajwa hapo juu kuthibitisha elimu yake (Itasaidia kuandaa Company Profile na sifa za watendaji wakuu)
  4. Utayari wa kuanza kazi kwa moyo mmoja na ujasiri wa hali ya juu.

MAWASILIANO:
Kwa mawasiliano zaidi, Nipigie kwenye 0713 741 758

Asanteni sana..
 
Business is ON ndugu, ukiwa tayari kwa vigezo hivyo tuwasiliane tuone tunakutana wapi kwa mazungumzo zaidi...
 
big up sana mdau...kwa mwendo huu tutafika mi nitasaidia kusambaza ujumbe kwa wenye vigezo
 
Mimi nina ujuzi wa uhasibu ila nina extra experience upande wa IT katika mambo ya accounting packeges (tally na quick book)Je, kwa vigezo hivi sitofit hapo?
 
#tm25 : Samahani ndugu, sababu za kumuhitaji mtu mwenye vigezo hivyo ni kwamba nime focus kwenye utendaji kazi zaidi katika kada hii ya IT. Wateja wa huduma zetu wanajali sana UBORA wa huduma. Ndiyo tunaanza, huenda mbeleni tukahitaji watu wa kada nyingine. Asante kwa kuonesha ushirikiano ndugu
 
safi sana kijana mwenzangu, unamtazamo mkubwa hakika utafanikiwa.

safi sana nimeipenda sana good idea mi.niyakuja tembelea ofisi yako maana nipo karibu na hapo kwa ushauri zaidi bali mo nimesha feri baadhi ya vigezo.mana nimesha pata ajira bali nitakuja kutoa ushauri pia
 
Ongera sana mkuu kawaida mtu anapofanya kizuri tusisite kutoa ongera au pongezi. Umeonyesha mfano mzur sana na wa kuigwa usijali mungu atakuongoza utafanikiwa kaza buti kijana mwenzetu utafika tu.
 
Habari wana JF,

Mimi ni Mjasiriamali mwenye umri wa 20' yrs. Nimesoma Bachelor of Science in Computer Science Software Engineering, nimejiajiri kwenye industry ya IT.

Nimefungua ofisi Sinza Makaburini mtaa wa sokoni. Ofisi imesajiliwa Brela na TRA, pia ofisi ina furniture (Meza za ofisi Mbili, Viti vya ofisi viwili, Viti vya kukaa wateja vitatu, Computer Desktop 1, Office jet Printer 1)

Ofisi ina mazingira mazuri sana na ipo sehemu nzuri na tayari inafanya kazi kwa takribani miezi mi4 na ina wateja.

HIVYO BASI:

Nahitaji mtu mmoja (1) mwenye mitazamo chanya ya kibiashara kushirikiana nae kwenye ofisi hii, awe na vigezo vifuatavyo;

  1. Awe na Taaluma ya Computer Science, Computer Engineering, IT au Software Engineering
  2. Awe na uwezo wa kufanya vitu na siyo mzuri wa kueleza NOTES zinasema nini hasa katika sehemu hizi; Software Development, Networking, Pc Maintenance, na Entrepreneurship na Good Customer Care
  3. Awe na kazi kama mifano ambazo alishawahi kufanya
  4. Asiwe ameajiriwa au mwenye mawazo ya kuajiriwa hivyo kukwamisha malengo tutakayojiwekea
  5. Awe ana uwezo wa kufanya kazi katika mazingira magumu, hasa wakati wa kutafuta wateja na kipindi cha wateja wachache/hakuna
  6. Awe na Ujasiri wa kufanya biashara na kuthubutu hata palipo na hali ngumu

JINSI YA USHIRIKA;

  1. Mtu huyu atakuwa sehemu ya Partnership kihalali na tutashirikiana katika kila Jambo la ofisi.
  2. Mapato yatakayopatikana yatakuwa ni ya ofisi, na faida tutagawana sawa kipindi tutakapoona inafaa kugawana kulingana na mipango ya ofisi
  3. Tutashirikiana kuandaa mikakati ya jinsi ya kupata wateja na kukuza ofisi zaidi

NINI KINAHITAJIKA TOKA KWAKE;

  1. Mshirika huyu atatakiwa kuwa na Computer either Desktop or Laptop yenye uwezo mkubwa wa kufanya kazi na kuhifadhi data
  2. Awe na Mchango kama sehemu ya mchango wake wa kodi. Kiasi cha Tsh. 360,000/- (Kodi ya Miezi 6, March - August)
  3. Aje na vyeti katika kozi tajwa hapo juu kuthibitisha elimu yake (Itasaidia kuandaa Company Profile na sifa za watendaji wakuu)
  4. Utayari wa kuanza kazi kwa moyo mmoja na ujasiri wa hali ya juu.

MAWASILIANO:
Kwa mawasiliano zaidi, Nipigie kwenye 0713 741 758

Asanteni sana..

Wewe ndo inabidi upewe ukuu wa wilaya na sio akina makonda wale..
Hongera sana kijana, mungu atazilinda fikra na ndoto zako.
 
Hapo kwenye red watu wawe making Sana

Wamelizwa wengi.
 
Hapo kwenye red watu wawe making Sana

Wamelizwa wengi.

Safi sana mkuu umekuwa muwazi sana naamini utafika mbali na idea yako huyu jamaa ameweka red yake anataka utawala wa kuibiana kama vile VAT utamwelezeje bibi wa umalila kijijini kwamba kila anunuacho dukani analipa kodi, huna vigezo kausha kumbuka hata matapeli wanaitaji watu wenye vigezo.piga kazi dogo uko poa sana na idea yako.
 
Asanteni sana wadau wote: JAPO Nimejifunza mengi sana kwa nini Vijana wahitimu tunalia AJIRA. Kusoma na kuhitimu ni jambo moja LAKINI Kujua nilichosoma na kukifanyia kazi ni jambo jingine.

BADO NAHITAJI MTU ANAYEJUA...!
 
Kwel parefuu mimi vigezo vyotebninavyoo kasoro cha bachelor tu ndo sina na iyoo laki tatu na sitin

Kwenye Networking I'm good enough nina experience yab
kutosha nina CCNA
Pia nina uweled wa telecommunications

Nimefanya kazi na naa isp
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom