Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,840
Tunajianda kwenda kuuanza mwaka mwingine mpya,. Swali la kujiuliza ,umefikia MALENGO uliyopanga mwaka huu? Kama ndio , good for you! Na Kama sio why? Kumbuka, Kama utaendelea kuwa mtu wa kulalamika na kutafuta visingizio na kutaka kuonewa huruma badala ya kutoa majibu!na kuwa na mawazo Yale Yale , marafiki wale wale. Kutenda vile vile , unasoma vitabu vile vile for the past five years ,hivyo tegemea matokeo Yale Yale. Ndio maana uendawazimu nikufanya jambo lile lile kwa njia ile ile huku ukitegemea matokeo tofaouti. Change what you see by changing how you see. Good day.