Je, uliwahi kuwa na mahusiano na Mwana JF?

Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
28,909
2,000
Kama uliwahi kuwa na mahusiano na mwana JF yeyote yule Je mahusiano yenu yalikuwaje?Mlidumu katika mahusino??Je mliaminiana au mlikuwa mnaviziana??
CC
Asprin
Watu8
Vin Diesel
Jiwe Linaloishi
Madame B
Malaika mimi
Mtambuzi
Shark
Paloma
Habiba Amour
Nawengine nyote hawa niliowaweka sijawaona siku nyingi!!!
Niliwahi kuwa nao wengi kimapenzi na kikazi humuhumu Jamii Forums
Ila at the end atakayebaki moyoni mwangu mpaka leo ni Ben Saanane.
Nilimpenda, nitampenda na nitaendelea kumpenda.
Japo sijui yuko wapi ila nampenda sana sana sana.
Kuna mmoja humu nikimtaja...jukwaa litasimama.
Hebu nikae zangu kimya KakaKiiza
 
Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
55,366

Kwa nini unahisi jukwaa litasimama wifi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habun

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
73,089
2,000
Niliwahi kuwa nao wengi kimapenzi na kikazi humuhumu Jamii Forums
Ila at the end atakayebaki moyoni mwangu mpaka leo ni Ben Saanane.
Nilimpenda, nitampenda na nitaendelea kumpenda.
Japo sijui yuko wapi ila nampenda sana sana sana.
Kuna mmoja humu nikimtaja...jukwaa litasimama.
Hebu nikae zangu kimya KakaKiiza
Mwenz ahayo mambo ya kuogopa jukwaa umeayaanza lini? Hebu mtaje bwana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom