Je, uliwahi achwa na mtarajiwa wako, Mume/ Mke kimasihara?

Kuna binti tulijuana naye mwezi 8 hivi mwaka jana, nilipokula tunda nikawa nimenogewa nikampenda kupita kiasi. Kwa vile nilikuwa mkoa mwingine ilifika muda nikaenda mkoa wa jirani ambako wanaishi wazazi wangu yeye akabaki kwajili ya kuendelea na masomo cozi ni mwanachuo cha ualimu. Nikafika nikasema nyumbani kuwa nimepata mchumba kweli wakasalimiana na mama! Sasa mi muda umefika nimerudi zangu ktk harakati akaanza kuniwekea status za kunichoma moyo, nikamuulza et akawa mkali na kuniambia mahusiano yafe. Sema kweli niliumia kama wiki nzima ila nashukuru Mungu nilikuwa na na wengine wawili ambao wananipenda zaidi japo mimi siwapendi kama yeye. Kama kuna mdau mwenye mbinu ya kumrudisha zizini anisaidie jmn. Bado nampenda na nkimpigia cm anapokea ila sms ndo hajibu
Achana naye ameishakamatika huyo anashindwa tu kukwambia. Ukilazimisha utavurugwa siku sio nyingi.
 
Nilimtongoza Bint mmoja na kumwambia nahitaji kumuoa mwanzo alisitasita lkn baadae akaja kukubali.

Tukaanza mipango ya posa tukakubaliwa na wazazi wake tukatajiwa Mahali, after few months tukapeleka hela wanaita Mkaja na Kilemba ikabakia mahali kwa sisi waisilamu tunaweza kufunga ndoa kwa ahadi ya kulipa mahali hapo baadae.

Tukatoa siku ya kuoa, cha kushangaza ilipokua imebaki wiki kufikia Siku ya ndoa wenzetu wakachachamaa wanahitaji Mahali ikamilike kwanza ndio tukaoe basi na sisi kwa hasira ikabidi tuvunje ndoa na kutafuta mbadala na kuanza mipango upya ya kuoa sehemu nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tupeni uzoefu ilikuwaje haswa ukaachwa kimasihara?

Mimi nakumbuka siku moja Mjomba wangu amejiandaa kwenda kanisani kuoa na kila kitu kimelipwa ukumbi, chakula, maandalizi yote yaani binti yupo saloon anasema mimi siwezi kuolewa nimeghaili taarifa kumfikia mjomba nae akadhani ni masihara na yule binti akachukua gari tax kwenda nyumbani kwao kumbe kuna jamaa yake tayari linamsubiri akasepa Arusha na sasa wapo Marekani.

Mjomba mpaka leo hajaoa
hao waliokimbilia USA wataachana tu
 
Hm.. Noma sana aisee
Hebu tupeni uzoefu ilikuwaje haswa ukaachwa kimasihara?

Mimi nakumbuka siku moja Mjomba wangu amejiandaa kwenda kanisani kuoa na kila kitu kimelipwa ukumbi, chakula, maandalizi yote yaani binti yupo saloon anasema mimi siwezi kuolewa nimeghaili taarifa kumfikia mjomba nae akadhani ni masihara na yule binti akachukua gari tax kwenda nyumbani kwao kumbe kuna jamaa yake tayari linamsubiri akasepa Arusha na sasa wapo Marekani.

Mjomba mpaka leo hajaoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"nilkuwa na demu wa tangia shule ,uhusiano wa zaidi ya miaka15 na nilimbikiria chuoni kwake (nurse) fresh tu..

bwana..bwana! nilikuwa nakaa mkoa na kila baada ya muda naenda chuoni kwake

muda ulivyokuwa unaenda kidogokidogo akawa anachomoa betri yaani..na mawasiliano yakawa yanapungua kabisa

Baadae mawasiliano ya simu yakapotea na ikalazimu nimfuate chuoni kwake,

ambako alinipokea...baada ya kuelekezwa na mlinzi chumba chake

Kiufupi: alikuwa na chumba na sebule safi na amejipanga,pia niliona Redd's za kutosha;na jioni nilimvisha Pete ya dhahabu (engagement )..!?!?

unajua nini!? usiku alinifungia kwa nje akaenda kulala chumba jirani na nilikuwa namsikia wakicheka na shogake..

Asubuhi nikasepa zangu kurudi mkoa...na hakuwahi kunipigia ni baada ya muda mrefu kupita ndipo siku moja ya j2...baada ya kutoka kuongea naye...

nikapokea SMS inasema "Bwana (akanitaja) huyu Pere..... ni mke wangu wa ndoa:hayo anakudanganya tu...alishaolewa.! iiihhhhh

mchana nikampigia simu akalia tu Mara alitekwa...mara alilazimishwa kuolewa! akaishia kusema hata ndoa hajui INA miaka mingapi

"..alinikaa moyoni na sikujua ningemtoaje humu moyoni,nilimpigia simu,nilituma hbd za kutosha na hakushtuka..

naishukuru JF imenipa u- TIMAMU na maisha yanasonga mbele kama kawaida;

kauli yetu ilikuwa " one day yes" ila kwa sasa ni "everyday is yes"

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba mkiwa kwenye mahusiano aliolewa bila wewe kujua na bado alikubali pete yako; right?
 
Na akija kaa mbali na papuchi yake; utaishia kubambikizwa mimba au atabeba mimba makusudi. Utaisoma namba
 
Nilimtongoza Bint mmoja na kumwambia nahitaji kumuoa mwanzo alisitasita lkn baadae akaja kukubali.

Tukaanza mipango ya posa tukakubaliwa na wazazi wake tukatajiwa Mahali, after few months tukapeleka hela wanaita Mkaja na Kilemba ikabakia mahali kwa sisi waisilamu tunaweza kufunga ndoa kwa ahadi ya kulipa mahali hapo baadae.

Tukatoa siku ya kuoa, cha kushangaza ilipokua imebaki wiki kufikia Siku ya ndoa wenzetu wakachachamaa wanahitaji Mahali ikamilike kwanza ndio tukaoe basi na sisi kwa hasira ikabidi tuvunje ndoa na kutafuta mbadala na kuanza mipango upya ya kuoa sehemu nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani. Hukuwa na mahari au uliamua tu kuja kuilipa baadaye?
 
Nashukuru Mungu mwaka 2016 , niliachana na mama watoto wangu ambaye tulifunga ndoa na nilikuwa nimemtolea mahali ...ndoa yetu kipind tunaachana ilikuwa na miaka 4 ,

Ghafla niliona dalili za upendo kupoa , hakutafuti mpk umtafute wewe ...visingizio kibao ..mara sina salio
Nilikuwa busy

Siku moja nikamfuma anajiandaa kupeleka k kwa mwanaume mwingine nilimwambia simple na watoto wananisikia ....kwanzia leo ww sio mke wangu its over

Usinijiue na mimi nisikujue ....!! Ukiona cm yangu ujue naulizia watoto!!

Akajidai na nyodo nikamkaushia mpk leo ....sasa hivi eti anaomba arudi kwangu mm namuangalia tu sina hata habri naye eendelea tu kupauka huko BARIADI

sent from toyota Allex
Shikamoooo mkubwa, maana haya ni masihara masiharani
 
Kuna dem nilimpenda tena zaid ya sana ,na alikuwa tayal kuishi na mm lakin kipindi hicho sikiwa vizuri kiuchum nikaona ngoja nivute vute muda ili niwe sawa ndo nimuoe maana sitak mtoto wa watu afikie shida kwangu, basi bwana ikawa bahat mbaya akaitwa na Dada ake huko dar mm aliniacha mkoani ,tangia aende kwa Dada niliona kabadirika kabisa hakuna mawasiliano wala nn ,niliumia sana lakin nikapotezea kisela,maajab sasa kila akija kusalimia huku lazima anitafute na kurudisha majeshi ya ulimwengu mzima na kwavile nampenda basi nakosa msimamo wa kumkataa ,yaan akija tunashinda wote kila sehem ananipa ninachotaka ila akisepa tu na kurud dar mawasilino yanakufa kabisa ,sasa hii imekuwa kama mazoea.

Kuna kipind alipokuja nilimwambia saiz, haurud dar nataka nikuoe ,fresh manz akaelewa nikawambia ndugu zangu mipango ikaendelea ,gafla akaja niambia ameitwa na Dada ake dar ila atarud baada ya wiki moja me sikuwa na namna yoyote ile ,baada ya kwenda aiseee akabadirika tena na kuniambia hatak mawasilino na mm na akaniambia nifute no zake ,me niliumia kama kawaida na nikampotezea japo kwa mbinde sana ,sasa baada ya hapo akawa anawambia rafik zake kuwa amepata mchumba huko dar na alijiapiza 2019 mwez wa sita haupiti lazima wafunge ndoa ,basi mm nikawa nasikilizia tu ,mwez wa sita ukapita kimya ,mwez wa kumi na moja nikashangaa ananitafuta na kunisalimia ,na akawa anataka urafik wa kawaida na mm ,kumbuka hapo aliniambia futa no zangu ,dah nikamwambia hakuna shida ,basi mawasiliano yakakolea weee,mwez wa kumi na mbili alikuja huku mkoan ,yaan amefika tu akanitafuta njoo unisalimie nimefika kitaaa ,mwanaume nikaenda basi mtoto alivaa nguo za mitego sana ,tukapiga story baadae tukaenda sehem tukatulia nn piga story za hapa na pale tukagana fresh ,kesho yake MTU akanitext kuwa anakuja geto nikamkaribisha ,alipofika tukajikuta tumeanza mambo yetu Yale na kwel alichezea sana hiyo cku.

Baada ya hapo sasa akawa anajibebisha balaa mara my ,sijui mume me nikawa simweleelew tukaenda weee kila cku anakuja geto tukajikuta tunapanga tena mikakati ya kuoana dah hii dunia iache tu,tar 7 akarud dar na aliahid anarud kwangu jumla mwez wa NNE na atakuja kwa ajili yangu,nikamkubalia ,maajab tokea aondoke na mawasiliano yamekufa ,zaid majuz alikuwa na shida na pesa akaniomba nikampatia ,baada ya kumpa kimya ,ukituma SMS za salam ni mkato kwenda mbele ,juzi kati nilikaa niliwaza sana nikajisemea ivi huyu dem kaniona toy sana mm ,dah yaan hapa nimeandaa mkakat mzito sana wa kumtemelea mbali huyu dem kwasabab sitak kujidanganya na nishatambua yafuatayo
1.huyu dem hana mapenz na mm zaid anakuja kwangu pale anapokosa mwelekeo
2.pia nishamgundua anapenda sana maisha ya hali ya juu na anataka mwamme wa kumuoa mwenye pesa za kutosha sasa akiniangalia mm anaona njaa Kali tu pia kumbuka yeye hana kaz wala nn zaid dar anaishi kwa shemej yake yaan Mme wake na Dada ake.
3.ni mwanamke anayependa sana maisha ya mitandaoni na kujikweza sana .
4.nimegundua kwavyovyote kuna mwanaume huko dar alimuahid kumuoa na itakuwa ana jiweza kipesa ila anampiga danadana na kumtumia tu kingono ndo maana anakosa msimamo zaid.

Kwavile nishayagundua haya ni bora tu ninyoshe mikono juu na nimeapa sintakaa nirudie tena kuruka nae hata akija huku mkon ntajitahid nimfungie vyoo maana huyu manz ni pasua kichwa sana ,so kwa kifupi me naona ameniacha japo kijanja sana ila na mm nishakubaliana na hiyo hali na sitarudia tena huo ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unachotakiwa kujua wewe siyo mwanaume wa type yake ila nakushauri K haisusiwi akija unafumua mpaka anakoma lakini kuwaza future nae futa hilo wazo.

Muone kama Malaya Fulani tu wa kufumua na kusepa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliachwa na mpenzi niliyedumu naye kwa miaka 6 kwa mbwembwe sio za dunia hii.

Huyu mrembo tulikuwa na urafiki kwa mbali tangu wadogo.

Nikiwa form 2 yeye form one tukaamua kuwa na uhusiano masomo yakaendelea nikafaulu form four bahati mbaya akafeli.

Baada ya hapo akawa na wasiwasi nitamuacha kisa yeye kafeli nikamtoa wasiwasi yeye akaenda certificate.

Nikamaliza form six vizuri nikaenda chuo nikiwa mwaka wa pili bhana bhana nikamuona amebadilika, nikampata shilawadu akaniambia mtu wako anaruka na fulani.

Huyo jamaa na mama yake walihamia mtaani kwetu baada ya mama kustaafu hivyo alikuwa na mkwanja unaotoka bila mahesabu mjomba nina bajeti kali inayotegemea bumu tu.

Nikamuuliza demu wangu unataka kufanya nini hapo mimi nina mawazo nikimaliza chuo mambo yakisimama fresh huyu ndiyo mke wangu sitaki mbwembwe nyingi.

Demu kwa nyodo akanijibu huna kitu chochote huna pesa hakuna kitu kinaumiza kama mtu atumie reality yako kama disadvantage.

Tukaachana ilikuwa saa 11 jioni nikaenda kuoga nilitumia kama lisaa na nusu naoga nililia sana bafuni huku najisemea nikitoka bafuni iwe imeisha sitolia tena.

Japo semister nzima nilikuwa naumia nilimove on nikasahau mishe zikaendelea.

Nikaanza kudeal na mambo yangu binafsi huku najisemea sitaki mwanamke tena mambo yanasonga.

Kumbe walikuja kumwagana na mshikaji demu alikonda hadi watu wakaanza kusema ana ukimwi kumbe ni stress tu.

Akaanza wasiliana na marafiki zangu wamuombee msamaha wapi kila anayemjua ni mtu wangu wa karibu anamuambia hajui ni shetani gani alimuingia, mara alalamike nilikuwa simpendi ndiyo maana nazidi kung'aa siwazi chochote

Sasa hivi naweza nikakaa ikaingia sms nasikia umemtomba fulani nacheka tu, sasa sijui nikioa sijui itakuwaje ngoja tuone.

Demu akikuacha kwa nyodo wewe mpe muda ndiyo msema kweli, ila kama ni kiroho safi muelewe.
Mkuu hapa chini ulivyomalizia nimekuelewa kabisa.
 
Kiukweli nasikitika sana kwa yaliyonikuta,mm ni Dr hospital fulan hapa mjini,sasa Nilikuwa na mchumba Nesi tulipanga kuoana mwaka huu mwez 9,kiukwl binti nilimpenda sikuwa kabixa na michepuko,sasa Huyo Nesi anaishi na rafiki yake na huyo rafiki yake ananipenda sana ila mm sina mpango nae,sasa huyo rafk yake kanitengenezea skendo kwamba natambea na mwanamke Fulani (mtumishi hapo hapo) huyo mtarajiwa kaamini kwl wakt sikufanya hivo,Leo siku ya tatu hakuna mawasiliano,nmeamua kufuta memory zote,sasa naanza upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dem nilimpenda tena zaid ya sana ,na alikuwa tayal kuishi na mm lakin kipindi hicho sikiwa vizuri kiuchum nikaona ngoja nivute vute muda ili niwe sawa ndo nimuoe maana sitak mtoto wa watu afikie shida kwangu, basi bwana ikawa bahat mbaya akaitwa na Dada ake huko dar mm aliniacha mkoani ,tangia aende kwa Dada niliona kabadirika kabisa hakuna mawasiliano wala nn ,niliumia sana lakin nikapotezea kisela,maajab sasa kila akija kusalimia huku lazima anitafute na kurudisha majeshi ya ulimwengu mzima na kwavile nampenda basi nakosa msimamo wa kumkataa ,yaan akija tunashinda wote kila sehem ananipa ninachotaka ila akisepa tu na kurud dar mawasilino yanakufa kabisa ,sasa hii imekuwa kama mazoea.

Kuna kipind alipokuja nilimwambia saiz, haurud dar nataka nikuoe ,fresh manz akaelewa nikawambia ndugu zangu mipango ikaendelea ,gafla akaja niambia ameitwa na Dada ake dar ila atarud baada ya wiki moja me sikuwa na namna yoyote ile ,baada ya kwenda aiseee akabadirika tena na kuniambia hatak mawasilino na mm na akaniambia nifute no zake ,me niliumia kama kawaida na nikampotezea japo kwa mbinde sana ,sasa baada ya hapo akawa anawambia rafik zake kuwa amepata mchumba huko dar na alijiapiza 2019 mwez wa sita haupiti lazima wafunge ndoa ,basi mm nikawa nasikilizia tu ,mwez wa sita ukapita kimya ,mwez wa kumi na moja nikashangaa ananitafuta na kunisalimia ,na akawa anataka urafik wa kawaida na mm ,kumbuka hapo aliniambia futa no zangu ,dah nikamwambia hakuna shida ,basi mawasiliano yakakolea weee,mwez wa kumi na mbili alikuja huku mkoan ,yaan amefika tu akanitafuta njoo unisalimie nimefika kitaaa ,mwanaume nikaenda basi mtoto alivaa nguo za mitego sana ,tukapiga story baadae tukaenda sehem tukatulia nn piga story za hapa na pale tukagana fresh ,kesho yake MTU akanitext kuwa anakuja geto nikamkaribisha ,alipofika tukajikuta tumeanza mambo yetu Yale na kwel alichezea sana hiyo cku.

Baada ya hapo sasa akawa anajibebisha balaa mara my ,sijui mume me nikawa simweleelew tukaenda weee kila cku anakuja geto tukajikuta tunapanga tena mikakati ya kuoana dah hii dunia iache tu,tar 7 akarud dar na aliahid anarud kwangu jumla mwez wa NNE na atakuja kwa ajili yangu,nikamkubalia ,maajab tokea aondoke na mawasiliano yamekufa ,zaid majuz alikuwa na shida na pesa akaniomba nikampatia ,baada ya kumpa kimya ,ukituma SMS za salam ni mkato kwenda mbele ,juzi kati nilikaa niliwaza sana nikajisemea ivi huyu dem kaniona toy sana mm ,dah yaan hapa nimeandaa mkakat mzito sana wa kumtemelea mbali huyu dem kwasabab sitak kujidanganya na nishatambua yafuatayo
1.huyu dem hana mapenz na mm zaid anakuja kwangu pale anapokosa mwelekeo
2.pia nishamgundua anapenda sana maisha ya hali ya juu na anataka mwamme wa kumuoa mwenye pesa za kutosha sasa akiniangalia mm anaona njaa Kali tu pia kumbuka yeye hana kaz wala nn zaid dar anaishi kwa shemej yake yaan Mme wake na Dada ake.
3.ni mwanamke anayependa sana maisha ya mitandaoni na kujikweza sana .
4.nimegundua kwavyovyote kuna mwanaume huko dar alimuahid kumuoa na itakuwa ana jiweza kipesa ila anampiga danadana na kumtumia tu kingono ndo maana anakosa msimamo zaid.

Kwavile nishayagundua haya ni bora tu ninyoshe mikono juu na nimeapa sintakaa nirudie tena kuruka nae hata akija huku mkon ntajitahid nimfungie vyoo maana huyu manz ni pasua kichwa sana ,so kwa kifupi me naona ameniacha japo kijanja sana ila na mm nishakubaliana na hiyo hali na sitarudia tena huo ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unatuaibisha wanaume hustahili kuwa mwanaume ... Nimekasirika kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna binti tulijuana naye mwezi 10 hivi mwaka jana, nilipokula tunda nikawa nimenogewa nikampenda kupita kiasi
Nikajiwekea moyoni kua huyu bint nitaishi nae kwa vile ni mpole sana.
Ghafla bint kanibadilikia kila nikimfata ananizungusha mara , naenda kumfta twende kwangu hatak kila siku sababu tu.
Mpaka sasa kila mtu amekula na time yake japo bado nampenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tupeni uzoefu ilikuwaje haswa ukaachwa kimasihara?

Mimi nakumbuka siku moja Mjomba wangu amejiandaa kwenda kanisani kuoa na kila kitu kimelipwa ukumbi, chakula, maandalizi yote yaani binti yupo saloon anasema mimi siwezi kuolewa nimeghaili taarifa kumfikia mjomba nae akadhani ni masihara na yule binti akachukua gari tax kwenda nyumbani kwao kumbe kuna jamaa yake tayari linamsubiri akasepa Arusha na sasa wapo Marekani.

Mjomba mpaka leo hajaoa
ana miaka mingapi now?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom