Je, ulitumia njia gani kumpata mpenzi uliye naye?

Mmoja nilimpa Iphone

Wapili nikampeleka bagamoyo tukaa wiki mbili

Watatu nilikutana nae humu,nilimtafutia kazi.

Wanne ambae nipo nae hadi sasa nilimfungulia biashara ya stationary.

Watano mfanyakazi mwenzangu kaolewa, birthday yake nilimnunulia chupi alafu nikamwambia siku ukiivaa naomba nione..kaingia kingi.

Wasita mtoto wa mama mwenye nyumba huyu nikirudi kazini namletea chochote..the rest is histry

Wasaba HR..huyu kila weekend naenda kwake kumfundisha anasoma CPA

Wanane nilimpeleka backets nikamywesha vitu vya kutosha..




However you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Baada ya kunipa namba yake ya simu,weekend nikamuita sehemu tukala vyombo vya kutosha halafu tukaenda kupumzika!
 
Back
Top Bottom