Je, Ulishawahi kupoteza matumaini ghafla juu ya kitu ulichokua unategemea kukipata? Ilikuwaje?

Raphael phockus

JF-Expert Member
Nov 4, 2018
768
1,000
Habari wana janvi!

Kama mada inavyojieleza hapo juu.

Kuna siku ilikuwa imebaki mechi 1 nipige M40-50.
Mkeka wa wiki, ilikua game ya
Everton na Spur mwaka jana. Spur alikua anaongoza 2-0 mpaka dakika ya 89.
Nikaanza kupiga na simu kwa jamaa mmoja kumuulizia bei ya gari lake aniuzie, apo nikaenda kuangalia na fremu ya kupanga nianzishe biashara uku nikiwa na bashasha tele na tabasamu kama loteee
🥳🥳🥳

Nikiwa njiani naelekea kutafuta fremu za duka, nikasema ngoja niwashe data nione kama mkwanja umesoma.........
ghaaaaai ghaai!!!! Ile nawasha tu wajuba (Everton) wakarudisha goli la kwanza dakika ya 90+4.
Nikasema kimoyomoyo hawa mbwa awawezi kurudisha magoli yote mawili atakama wakipewa dakika 40 za nyongeza.
Sijakaa sawa nasikia alert mala mbili mufululizo za sofascore. Kucheki notification naona goli la pili dakika ya 90+6 na MPIRA UMEKWISHAAA.
Nilipigwa na butwaa
:oops: :oops::oops:

49949628_725084987875391_1489756973380403200_n.jpg

Nikaona dunia imesimama, nawaza sijui nilie, nicheke au ??? Mapigo ya moyo yanatembea kwa spidi kama ya choppa za kivita. Jasho mpaka kwenye ulimi, mwili ukapata ganzi kwa mda. Aisee niliapa kama sikufa kwa presha siku ile sitokuja kufa kwa presha tena.

Hiki kisa nimekopi na kupesiti kutoka kwenye comments humu JF.
 
View attachment 1777513

.
 
cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
27,762
2,000

Jasho hadi kwenye ulimi,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom