Najiona Mimi
Member
- Aug 15, 2020
- 74
- 87
Mkuu ni kweli mfumo wa dunia ulivyo bila kujipendekeza mambo yatakuwea magumu kwenye kila kitu. Ila kwangu mimi ni tofauti kabisa hasa kwa upande huu mahusiano na watu.
Kwa jinsi ulivoandika kwa jazba nilihisi lazima umetendwa na mtu tena inaonekana sio muda mrefu sana na bado unampenda mpaka leo.