Je ulishawahi kula Chakula kingi/kikubwa kiasi gani?

Xubzero

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
243
410
Kumradhi kwa uandishi mbovu

Bila kuchelewa twende kwene mada Binafsi nakumbuka kipindi nikiwa kidato cha nne shule flan huko arusha nilikuwa naishi na rafiki zangu watatu gheto coz tulikuwa tunasoma day school tofauti na wengne waliokuwa wanasoma boarding school ... kuna siku tuliishiwa kila kitu mjengo kuanzia unga mpaka chumvi nakwambia njaa hiyo usipimee. bahati nzuri akapita mzee fulani ivi anaitwa urio na alikuwa anatufaham vyema kwani tulikuwa tumepanga chumba karibu nae kulingana na nenge tulokuwa nayo tukamuomba atusaidie japo hela ya kunywa chai mzee akasema kama mnataka niwanunulie chai nawanunulia chapati 100(mia moja) mmalize tukakubali,jamaa akalipia hela ya chapati 100 akatulazimisha tumalize tusipomaliza tutalipa sie tukajikongoja zikaisha nakwambia mtaa mzima watu wakatuogopa my friends nakwambien siku 2 nzima tulikuwa tumeshiba na matumbo yanaunguruma kama tumboni kuna njiwaa

Je ww ulishawahi kula chakula kingi/kikubwa kiasi ganii?? Nawasilisha
 
Naomba kuwasilisha....
images.jpg
 
Xubzero,
Nakumbuka mm na mwanangu john tulikula ugali kilo moja na nusu na samaki fungu tatu (dagaa mchele) alafulikaa nje watu hawakuamini😃😂💪💪💪💪
 
Mod fungeni huu uzi.
4mil views na kila sa nikiingia humu najenga hema hatari sana. Mjegeja wangu utakatika mod nihurumieni :):)
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom