Je, ulishawahi kuiflash smartkitoch cha itel it9300? Naomba unisaidie please

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Feb 9, 2019
859
1,012
NI SMARTKITOCH CHA TIGO KUTOKA ITEL (it9300)
Je, Ulitumia booty key ipi?

Au haitumii booty key wakati wa kuflash?, kama ni ndio ulifanyaje mpaka haikujiwasha ulipo unganisha katika PC?

SHARE NA MIMI UJANJA WAKO ILI NAMI NIWE MJANJA.
 
Kama ni spd na umekosa boot key ifungue harafu unga tx point na GND ndipo uchomeke usb. Kwa wakati mwingine nunua boot JIG izipo wanauza hadi dola 1.
 
Mbona ize
 
Kiongozi Nimefanikiwa Kupitia Wewe,
Natanguliza Shukrani Zangu Za Dhati Kwako. Mungu Wa Imani Yako Na Akufanyie Wepesi Katika Kila Hatua Ya Maisha Yako Amen
 
Back
Top Bottom