Je, Ulaji wa muwa unasababisha uchungu mkali sana wakati wa kujifungua?

mnyalukolokwetu

Senior Member
Jan 10, 2016
156
40
Wadau naomben msaada wa swali hili je ni kwel mama mjamzito akila sana muwa wakati wa ujauzito wake atapata uchungu mkali sana tena wa muda mrefu wakati wa kujifingua karibuni kwa mchango wa majibu
 
Back
Top Bottom