Je, ukiwa kama JF Great Thinker kwa Kauli ya huyu 'Specialist Doctor' juu ya Ugonjwa wa 'Chronic Attrial Fibrillation' umegundua nini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,791
" Kijana GENTAMYCINE Kitatibu ni makosa na isitoshe asikudanganye Mtu hakuna Ugonjwa uitwao 'Chronic Attrial Fibrillation' bali kuna Ugonjwa tu uitwao 'Attrial Fibrillation' na mpaka leo Madaktari Bingwa tunajua hivgo ila hiyo 'Chronic' ni Uwongo mtupu " alisema Daktari Bingwa wa Masuala ya Moyo ( Jina nalihifadhi )

Halafu na nyie Madaktari Bingwa wa Moyo wa hapo Msoga Chalinze Cancer Institute mkabala na Fire na Jangwani Secondary School kwanini tukikutana katika 'Vilinge' vya 'Gambe' huwa mnafunguka sana kuhusu '17th March, 2021 National Sorrow Event' ila mkiwekewa 'Mic' mnafichaficha na Kuogopa kusema uhalisia wa Kitabibu?

Haya Madaktari Bingwa wa Moyo mliopo hapa JamiiForums tafadhali nawaombeni upesi mje 'mbishane' kwa Utaalam ( Ubobezi ) wenu na mtuambie je, tushike lipi kati ya 'chronic attrial fibrillation' na 'attrial fibrillation' kwani mnatuchanganya sana kwakweli.
 
Mods ihamishiwe jukwaa la afya penye ma doctor Walijibu kitaalamu zaidi si wengine hatutaki kuumizwa vichwa na hayo ma file ya ma genius maisha yenyewe mafupi haya nani anataka shida?
 
Back
Top Bottom