MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Nina Jirani yangu tumepanga wote hapa Uswahilini Tandale kwa Tumbo ( barabara Kuu ya Mafuriko ) na tupo Jirani kwa Vyumba vyetu kufuatana.
Yeye na Mkewe ( Shemeji ) tunaishi vizuri na Kushirikiana vyema tu Kimaisha japo wote ni Choka Mbaya tu Kimaisha ila tunaendelea Kupambana.
Hata hivyo nina Changamoto moja Kubwa ambayo Yeye na Mkewe Usiku wakiwa Wanafanya Mapenzi huwa wanapiga mno Kelele hadi Usingizi unakata kabisa.
Kweli najua Mapenzi ni Matamu na huwa yanapagawisha mno hasa pale Utamu wake ukinoga hivyo silaumu hilo ila Kelele za hawa zimezidi sana.
Kwa kumheshimu Jirani yangu huyu ( Mwanaume ) naona Aibu kumuambia moja kwa moja juu ya hii Kero ili basi waipunguze.
Hivyo naombeni Mbinu ya Kidiplomasia na Kisaikolojia ambayo itaniwezesha Kumfikishia Ujumbe na akauelewa na wala asikasirike na Ujirani wetu uendelee.
Kuna muda Makelele yao huwa yananifanya hata nihisi kuwa huenda Demu wangu akaona Mimi simngono vizuri na akanidharau na Kumtamani Jirani ili nae alizwe kama Mkewe.
Na si kwamba Mimi na Demu wangu nasi huwa hatulii la hasha nasi huwa tunalia ila ni kwa Mfumo tu wa Kuguguma guguma ila Viungo vyetu vya Kibaiolojia ndiyo huwa vinaumana kwa Kupiga Kelele ambazo najua Wao huwa hawazisikii.
Naombeni Maujuzi yenu ili leo hii hii nifikishe Ujumbe Kwake hata kwa njia ya Kimafumbo ( Kidiplomasia na Kisaikolojia ) tu kwani imekuwa bahati wote tupo Off kwa hii leo.