Je, ukistaajabu ya Spika Ndugai na Utanganyika utayaona ya Rais Samia na Uzanzibar?

Mama kuna vitu viwili vinamsumbua sana UZANZIBAR na UDINI, Hizi mbegu anavyoanza kuzipanda lazima atazivuna mwenyewe..siku si nyingi..
Ukumbuke tu Tanganyika hatuna udini wala ukabila..tunakula kitimoto pamoja na beer bila kujali udini wetu na tunaoana bila kujali ukabila wetu.
Teuzi za rais kwa sasa nyingi huwe na asili ya Uzanzibar zaidi ya hapo sahau labda akubebe kwa kigezo cha Imani yako.. mtu wa Mbeya,Arusha,Iringa,n.k kwenye utawala huu wewe sahau..
Wewe ndio mdini...ikague nafsi yako nje ndani....wewe ndio mdini mpaka unatuwekea mambo ya udini udini humu katika hoja ya ukabila....udini wako kaa nao moyoni vyovyote upandavyo......
 
Huyu mama ni kiazi kweli. Eti anasema yeye ni mZanzibar ,eti hana ukabila. Mtu asie na ukabila angesema yeye ni Mtanzania.
Uwe na adabu Victoire....Kila siku tulikuwa tunamsifia hayati JPM na hukuwahi kumtukana kwa sababu alikuwa ni Msukuma mwenzetu?!!!!

Kuwa na adabu na Rais wa nchi na Amiri Jeshi Wa Majeshi Ya ulinzi wa nchi..... Kama Kuna mtu wako ametumbuliwa kwa sababu tofauti usimsingizie mh.Rais mambo ya ajabu sakala wewe......
 
Wewe ni mgeni humu. Tafuta nyuzi zangu kuhusu Magufuli. Nilimpongeza na nilimkosoa pia.
 
Kuna siku utasikia bring back tanganyika suala la muungano linahitaji hekima, busura na kuacha kujionyesha sana mambo mengine wawe wanayamaliza ndani kwa ndani bila kelele zao huku nje, hata bara wana malalamiko yao juu ya Zanzibar hasa kwenye suala la ajira na kodi za bidhaaa kuja huku bara
 
Ila huu uzi unatakiwa chifu Hangaya atafakari sana, aangalie vizuri suala la muungano, na je, anapendelea?
 
Write your reply...Hili limama limepewa mzigo mzito haliuwezi, kazi za wanaume zikifanywa na wanawake ndio hivi sasa.
 
Hii zanzibar mliiendekeza wenyewe, chukulia mfano wa hongkong ambapo kuna kiongozi mkuu (chief executive).....huwezi kusikia watu wa jimbo la hongkong wakidai haki sawa na watu wa mainland China linapokuja swala la uongozi na kugawana rasilimali, kwani hongkong pamoja na kuwa semi-autonomous bado ni sehemu ndogo sana ya china. Sasa nyinyi endeleeni kuendekeza huu uzwazwa eti mnalinda muungano......
Mwalimu Nyerere alipoupigania Muungano mpaka anakufa hakuwa mjinga hata kidogo.
 
Hii zanzibar mliiendekeza wenyewe, chukulia mfano wa hongkong ambapo kuna kiongozi mkuu (chief executive).....huwezi kusikia watu wa jimbo la hongkong wakidai haki sawa na watu wa mainland China linapokuja swala la uongozi na kugawana rasilimali, kwani hongkong pamoja na kuwa semi-autonomous bado ni sehemu ndogo sana ya china. Sasa nyinyi endeleeni kuendekeza huu uzwazwa eti mnalinda muungano......
Watawala wamegeuka wasaliti wakubwa wa Tanganyika.
Wamegeuza Tanganyika kuwa Shamba la bibi, inatafunwa pande zote bila huruma wao wanaangalia tu.

Huwezi kugawa raslimali bila kuzingatia uwiano wa watu.
Una watoto 20 ndani, unapika chakula nusu unampa mmoja, nusu nyingine unawapa 19 wagombanie. Ajabu sana hii🤔
 
Hakuna kauli ya bahati mbaya au jambo la bahati mbaya, Haya yote humtoka mtu moyoni kwani ndio moyo wake umeyajaa yamtokayo

Refer:Uzi wa Pascal Mayalla Unaoongelea Powers of karma na Nguvu za uvutano( Newton's laws of Motion)

Kauli ya Spika Job Ndugai kuwa ...
Muda ni wakati na Muda ni mwalimu, kuna siku suala la katiba mpya na la kupunguza mamlaka ya Rais litaanzishwa na wana ccm wenyewe Bungeni akiwepo Spika Job Ndugai
Huu uzi nitakuwa umechangia kumponza Spika Job Ndugai, ndio maana akaukataa msamaha wake.
P
 
Back
Top Bottom