Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,078
- 12,756
Anaongelea ukweli....unataka atete ujinga anaopakaziwa mh.Rais?!!Mkuu mbona unatoka povu sana huyu mama anapoongelewa, au una maslahi binafsi mkono kwenda kinywani.....
Anaongelea ukweli....unataka atete ujinga anaopakaziwa mh.Rais?!!Mkuu mbona unatoka povu sana huyu mama anapoongelewa, au una maslahi binafsi mkono kwenda kinywani.....
Wewe ndio mdini...ikague nafsi yako nje ndani....wewe ndio mdini mpaka unatuwekea mambo ya udini udini humu katika hoja ya ukabila....udini wako kaa nao moyoni vyovyote upandavyo......Mama kuna vitu viwili vinamsumbua sana UZANZIBAR na UDINI, Hizi mbegu anavyoanza kuzipanda lazima atazivuna mwenyewe..siku si nyingi..
Ukumbuke tu Tanganyika hatuna udini wala ukabila..tunakula kitimoto pamoja na beer bila kujali udini wetu na tunaoana bila kujali ukabila wetu.
Teuzi za rais kwa sasa nyingi huwe na asili ya Uzanzibar zaidi ya hapo sahau labda akubebe kwa kigezo cha Imani yako.. mtu wa Mbeya,Arusha,Iringa,n.k kwenye utawala huu wewe sahau..
Uwe na adabu Victoire....Kila siku tulikuwa tunamsifia hayati JPM na hukuwahi kumtukana kwa sababu alikuwa ni Msukuma mwenzetu?!!!!Huyu mama ni kiazi kweli. Eti anasema yeye ni mZanzibar ,eti hana ukabila. Mtu asie na ukabila angesema yeye ni Mtanzania.
Katika msaada wa 1.3 trillion Zanzibar yenye watu krb sawa na wa mkoa wa Kgm kwa mfano wamepewa gawio la billion 230 plus ,this is totally unfair,Muungano huu bora uvunjike tuMama anauzanzibar sana...
Wewe ni mgeni humu. Tafuta nyuzi zangu kuhusu Magufuli. Nilimpongeza na nilimkosoa pia.Uwe na adabu Victoire....Kila siku tulikuwa tunamsifia hayati JPM na hukuwahi kumtukana kwa sababu alikuwa ni Msukuma mwenzetu?!!!!
Kuwa na adabu na Rais wa nchi na Amiri Jeshi Wa Majeshi Ya ulinzi wa nchi..... Kama Kuna mtu wako ametumbuliwa kwa sababu tofauti usimsingizie mh.Rais mambo ya ajabu sakala wewe......
Hili swala ni gumu Sana na ipo siku CCM wataungana na wapinzani tuwe na katiba mpya ili Hali hii isitokee Tena .ni swala la muda tu .Ni makosa makubwa Tanzania kuongozwa na rais toka zanzibar
Kifo cha JPM kinaendelea kufukua mengi tu.Mama anauzanzibar sana...
Wanaume wa afrika ni matatizo matupu, huwa udhaifu wao hawauoni.Write your reply...Hili limama limepewa mzigo mzito haliuwezi, kazi za wanaume zikifanywa na wanawake ndio hivi sasa.
Mwalimu Nyerere alipoupigania Muungano mpaka anakufa hakuwa mjinga hata kidogo.Hii zanzibar mliiendekeza wenyewe, chukulia mfano wa hongkong ambapo kuna kiongozi mkuu (chief executive).....huwezi kusikia watu wa jimbo la hongkong wakidai haki sawa na watu wa mainland China linapokuja swala la uongozi na kugawana rasilimali, kwani hongkong pamoja na kuwa semi-autonomous bado ni sehemu ndogo sana ya china. Sasa nyinyi endeleeni kuendekeza huu uzwazwa eti mnalinda muungano......
Watawala wamegeuka wasaliti wakubwa wa Tanganyika.Hii zanzibar mliiendekeza wenyewe, chukulia mfano wa hongkong ambapo kuna kiongozi mkuu (chief executive).....huwezi kusikia watu wa jimbo la hongkong wakidai haki sawa na watu wa mainland China linapokuja swala la uongozi na kugawana rasilimali, kwani hongkong pamoja na kuwa semi-autonomous bado ni sehemu ndogo sana ya china. Sasa nyinyi endeleeni kuendekeza huu uzwazwa eti mnalinda muungano......
Bwe. Ge.. Kaa kimyaHuyu maza ni mdini balaa anafuata nyayo za mwendazake
Huu uzi nitakuwa umechangia kumponza Spika Job Ndugai, ndio maana akaukataa msamaha wake.Hakuna kauli ya bahati mbaya au jambo la bahati mbaya, Haya yote humtoka mtu moyoni kwani ndio moyo wake umeyajaa yamtokayo
Refer:Uzi wa Pascal Mayalla Unaoongelea Powers of karma na Nguvu za uvutano( Newton's laws of Motion)
Kauli ya Spika Job Ndugai kuwa ...
Muda ni wakati na Muda ni mwalimu, kuna siku suala la katiba mpya na la kupunguza mamlaka ya Rais litaanzishwa na wana ccm wenyewe Bungeni akiwepo Spika Job Ndugai