Je ukisafiri na kukuta mkeo/mumeo anaumwa hiv utafanya nini?

Chamkoroma

Senior Member
Sep 6, 2010
186
11
Kweli duniani kuna mengi, jamaa yangu alisafiri nchi za jirani kwa muda kidogo kama mwaka mmoja alipokuwa safarini alisikia kuwa mkewe anaumwa aliporudi mkewe akamwambia anaumwa ukimwi, je ingekuwa wewe ungefanyaje?
 
Sawa mke anaumwa ukimwi sasa mme afanye nini? Uamuzi ni wake, atabarikiwa kama atamlea mkewe mpaka kifo kiwatenganishe.

Kwani wewe unataka kusema nini?
 
Sawa mke anaumwa ukimwi sasa mme afanye nini? Uamuzi ni wake, atabarikiwa kama atamlea mkewe mpaka kifo kiwatenganishe.

Kwani wewe unataka kusema nini?
Ubarikiwe sn kwa majibu yako mazuri, japo wengi walitoa maoni c kupitia mtandao huu kuwa kama ukimkuta mwezio anaumwa dawa kumwacha yaani kumpeleka kwao, au mke kkumwacha mume, lkn neno linasema "yeye asiye na dhambi awe wakwanza kutupia jiwe"
 
Jambo la kwanza ni kuzungumza naye na kumpa pole. Pili itakubidi uende ukapime nawe, kwa sababu inawezekana kuwa wewe nawe umeambukizwa. Majibu yako yakiwa negative umshukuru Mungu na kumhudumia yule mama K
 
PHaya yote ni majibu mazuri lakini pia usimnyanyapae bali mtunze nae awe tayari kukurinda zidi ya maambukizi kwako.
 
ni kweli jamaa akapima mara 2 ni mzima lkn ni neema na pia jamaa akaapa kumtunza mkewe, lkn mama anataka mavituzi yake kama zamani japo kwa helmet je iweje hapo na rafiki yangu kwa woga anaona nivigumu bora walee wtoto je amwambieje japo tumemshauri avae japo 2 hata 3 ili amsaidie mama jamaa anaogopa tuwasaidieje?
 
Back
Top Bottom