BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,321
- 11,315
Kuanza biashara inahitaji maandalizi ya kutosha, uwe na resources za kutosha ikiwemo mtaji n.k, na ukafanikiwa kuanza basi changamoto zinakua zipo haswa kama ulikua na matarajio makubwa inaweza kushusha morali na kukata tamaa, lakini yote lazima kuhakikisha unayafikia malengo hata kama utatembea mwendo wa konokono alimradi ufike mahali ulipodhamiria kufika.
Njiani waweza kutana na usaidizi mbalimbali hata katika hali ambayo huwezi kuitarajia.
Kijana mfanyabiashara ndogondogo, haswa changa, mwenye mahala pa kufanyia biashara, unayepatikana mkoani Arusha, mwenye leseni, na tin, je ukisaidika shilingi milioni 1, itakutosha katika biashara yako?