Je, ukipewa 1,000,000 utaweza kufungua duka la reja reja?

Kigorohe

Senior Member
May 21, 2019
160
252
Habari wana JF, naomba kufamu kama kuna uwezekano wa kufungua duka la bidhaa ya matumizi madogo madogo ukiwa na mtaji wa Tsh. 1,000,000. Mawazo yenu ni mhimu sana.
 
Wataalam wangetupa na mchanganuo kabisa,ingekuwa swadakta
 
Hiyo nenda porini huko nunua mazao nenda kauze mjini, maana kwa bajeti hiyo duka litakuwa dogo sana, pesa nyingi itaishia kwenye miundombinu.
 
Labda duka la sigara za rejareja ila kama ni bidhaa za nyumbani utauza tu nafaka mbili (mchele na maharage)
 
Pesa ni ndogo mnoo mkuu... M 1.. huwezi fanya biashara hiyo... Tafuta biashara moja kama wadau walivyo shauri hapo.... Chukua mazao ama matunda toka bush weka mjini... Kwa jumla jumla..
 
Anza ...inatosha ... ingawaje mimi nilianza na 1.8m cha msingi:

-Shelfu weka upande mmoja 100k
-kabati/meza simple 50k
-kodi
-mzani(tafuta used ni bei rahisi)

Nunua mazaga weka..

*Fungua Mapema
*Omba Mungu kila siku abariki biashara
*Songa mbele....
 
Asante na ubarikiwe sana
 
Kwa kuanzia inatosha sana ila ukomaye mwenyewe na usifanye matumizi ya hovyo, hakikisha pia liwe eneo lililo changamka!
 
Habari wana JF, naomba kufamu kama kuna uwezekano wa kufungua duka la bidhaa ya matumizi madogo madogo ukiwa na mtaji wa Tsh. 1,000,000. Mawazo yenu ni mhimu sana.
ANZA NA HIYOHIYO,
MAMBO YATANYOOKA MBELEMBELE.

NGALIZO:

USIANZE KUAJIRI MTU KABLA HUJAELEWA DIRA NA MWELEKEO WA BIASHARA-
NDANI YA WIKI MBILI TU
UTAPIGWA MTAJI WOTE HADI MAJI UTAITA "MMMAH!!!"
 
Anza ...inatosha ... ingawaje mimi nilianza na 1.8m cha msingi:

-Shelfu weka upande mmoja 100k
-kabati/meza simple 50k
-kodi
-mzani(tafuta used ni bei rahisi)

Nunua mazaga weka..

*Fungua Mapema
*Omba Mungu kila siku abariki biashara
*Songa mbele....
Wazo zuri
 
Habari wana JF, naomba kufamu kama kuna uwezekano wa kufungua duka la bidhaa ya matumizi madogo madogo ukiwa na mtaji wa Tsh. 1,000,000. Mawazo yenu ni mhimu sana.
Ndugu zingatia kua mtaji ni Wazo na sio pesa, pesa ni matokeo tu ya wazo lako! Ukiwa na wazo bora, zuri na linalotekelezeka hata ukiwa na 500,000/= inatosha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom