tosha kabisa,kwakuanziaHabari wana JF, naomba kufamu kama kuna uwezekano wa kufungua duka la bidhaa ya matumizi madogo madogo ukiwa na mtaji wa Tsh. 1,000,000. Mawazo yenu ni mhimu sana.
Na kodi humohumo oHabari wana JF, naomba kufamu kama kuna uwezekano wa kufungua duka la bidhaa ya matumizi madogo madogo ukiwa na mtaji wa Tsh. 1,000,000. Mawazo yenu ni mhimu sana.
hiyo inatosha anza Mdogo ila naona bora ungeamua kufanya biashara tofauti kama vile kuchukua matunda vijijini na kupeleka mjini etcYeah! Kodi ya pango n 40000 kwa mwezi
Asante na ubarikiwe sanaAnza ...inatosha ... ingawaje mimi nilianza na 1.8m cha msingi:
-Shelfu weka upande mmoja 100k
-kabati/meza simple 50k
-kodi
-mzani(tafuta used ni bei rahisi)
Nunua mazaga weka..
*Fungua Mapema
*Omba Mungu kila siku abariki biashara
*Songa mbele....
ANZA NA HIYOHIYO,Habari wana JF, naomba kufamu kama kuna uwezekano wa kufungua duka la bidhaa ya matumizi madogo madogo ukiwa na mtaji wa Tsh. 1,000,000. Mawazo yenu ni mhimu sana.
Wazo zuriAnza ...inatosha ... ingawaje mimi nilianza na 1.8m cha msingi:
-Shelfu weka upande mmoja 100k
-kabati/meza simple 50k
-kodi
-mzani(tafuta used ni bei rahisi)
Nunua mazaga weka..
*Fungua Mapema
*Omba Mungu kila siku abariki biashara
*Songa mbele....
Ndugu zingatia kua mtaji ni Wazo na sio pesa, pesa ni matokeo tu ya wazo lako! Ukiwa na wazo bora, zuri na linalotekelezeka hata ukiwa na 500,000/= inatosha.Habari wana JF, naomba kufamu kama kuna uwezekano wa kufungua duka la bidhaa ya matumizi madogo madogo ukiwa na mtaji wa Tsh. 1,000,000. Mawazo yenu ni mhimu sana.