Je, ukimaliza Diploma, unaweza kupata mkopo kwa ngazi ya Degree?

Kwanza mkuu me nataka nijue being halisi ya kupata AVN number kama ushawahibkuwapigia na ukawapata hao nacte.. Wanasema ni pesa ngapi..?
Ni elfu 10, cost zinaweza kuongezeka kulingana na mahitaji ya scanning and photocopying
 
Kwanza mkuu me nataka nijue being halisi ya kupata AVN number kama ushawahibkuwapigia na ukawapata hao nacte.. Wanasema ni pesa ngapi..?
AVN inaweza kuwa 20,000 au 10,000.
Programme zilizo chini ya NACTE na vyuo vilivyo chini ya NACTE ni 10,000
Programme zisizochini ya NACTE na vyuo visivyo chini ya NACTE AVN ni 20,000.
Kuhusu ratiba Kalenda ya TCU inaonyesha round One mwisho tarehe 25/9/2020
Round two itafunguliwa Tarehe 8/10/2020 mwisho tarehe 12/10/2020.View attachment TAARIFA KWA UMMA -UDAHILI 2020.pdf

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Hapa nakubali mkuu,, huyu ismail hassan mbona ananitia presha mwenzie.. Ety 20,000 hali ni ngumu huku kwa mtaa
Labda kama anazungumzia na elfu 10 nyingine ya application

But kupata tu AVN ni elfu 10 na ningekushauri ukiombwa vyeti ili kuviscan toa vile muhimu tu ukitoa mpaka ulivyorisit mara vya certificate hutakataliwa sababu anahitaji hela tu
 
Back
Top Bottom