Je, ukichukua Vitu hivi katika Ndege pale ikitua tu unakoenda unakuwa Umeiba au Umechukua kile ambacho Umekilipia katika Nauli?

Kuna Njemba imeshuka katika Pipa / Mbung'o / Ndege jana usiku halafu amenipa Zawadi za Sabuni na Toilet Papers hivyo ngoja nimrudishie tu au?
Ikiwa alikuwa Business Class/VIP au daraja la kwanza kama wengi huita hivyo ni mali yake alilipia. Kwa hiyo chukua tu mkuu utumie bila shaka.

Ila najiuliza tu kwa sauti, inakuwaje NJEMBA inachagua kukuletea wewe zawadi 🤣🤣🤣🤣🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️👍
 
Hilo pia ni sahihi, ila uoga umezidi kwa vijana wa sasa, Mwl angelikuwa muoga hivyo tusingefika wapi
Kumlinganisha Hayati Mwalimu na Sisi wana Mkoa wa Mara wa sasa ni sawa na Kumlinganisha Marehemu Maradona na Ditram Nchimbi wa Yanga.
 
Ikiwa alikuwa Business Class/VIP au daraja la kwanza kama wengi huita hivyo ni mali yake alilipia. Kwa hiyo chukua tu mkuu utumie bila shaka.

Ila najiuliza tu kwa sauti, inakuwaje NJEMBA inachagua kukuletea wewe zawadi 🤣🤣🤣🤣🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️👍
Mimi ni Mganga wake Mkuu wa Kienyeji kwani mara zote hata kama akiwa hana Viza ya kwenda kwa Trump huwa namfanyia Ndumba na anavuka.
 
Za air Tanzania?
Siku hizi hawatoi kitu, majuzi tunatangaziwa kuwa hatijapewa viburudisho kwa ajili ya hali mbaya ya hewa sijui kuna uhusisno gani na hivyo
Sasa ukipewa hayo Mapochopocho huku Ndege ikiwa inapitia Mtikisoko ( Air Turbulence ) na ukajiharishia utawasaidia Cabin Crews Kuyazoa yote?
 
Unabeba tu mimi nilitembea na mataulo wakanisimamishia reception
Mkuu nimecheka sana na hiki ulichokiandika hapa. Kwahiyo hayo Mataulo uliyasalimisha hapo hapo Reception au ulitambaa nayo tu hadi Kitaani?
 
Nataka na mimi mkuu unifanyie niende kwa Malkia 🤣🤣
Nitafutie Mavuzi ya Simba Dume na tena hakikisha unayakata ( unayachukua ) pale akiwa Mawindoni na ana Njaa ya Kitoweo ndiyo huwa mazuri.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom