Je, UKAWA ni chama kipya? Wako wapi Lissu, Slaa na Marando?

2kimo

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,029
2,071
Katika hali isiyo ya kawaida chama kipya cha siasa kimeanzishwa nchini!

Ukawa imekuwa na sura mpya kabisa katika utawala wake! Ni mzee mzima mbowe anaongoza jahazi na mkwewe! Kama anavyolaumiwa kikwete kupora madaraka, mbowe naye amekuwa akiamua mambo mwenyewe ktk chama!

Ubaya wake chama kimeanza kuonesha taswira ya kiukanda zaidi! Zile sura semaji za chama hazisikiki na wageni wengi hawakufuata taratibu na katiba ya chama! Wengi wamedandia treni kwa mbele na kuindoa wenyeji akiwemo katibu Mkuu!

Kwa kuonesha hali ya udhaifu wa juu, wageni hao hawataki hata kuvaa magwanda, hawanadi Sera za chama kama alivyo Lowasa yeye Sera zake za ccm hazijsbadilika! Kama nazo na kwa tamaa ya pesa kwa wazee wa kimangi, jamaa wamekubali kucompromise kwa tamaa ya fedha!

Nahofia kuona taifa letu likiuzwa!
Najua hao ambao hawajatokea mikoani kwao hawajafanana agenda so hawana nafasi ktk mazungumzo! Yawezekana hata team ya kampeni ni ile ya ccm! Team Lowasa naona ndio inayotamba kuliko team ukawa!

Yawezekana hata hao tunaojiuliza wapo wapi wanaona aibu tu kutoka ila wanajua hali si shwari chama ni! Yawezekana wanaomba ccm ishinde ili wamshitaki wenye NGO za chadema na nccr!

Twajua kuwa ndoa ya cuf na nld zitakufa SAA yeyote kwa kuwa wao walitumika tu kuamsha hamasa!
 
Unapoteza tu muda wako mkuu. Nadhani hizo habari zako ungezipeleka kwenye kitengo cha propaganda Lumumba, watakupa majibu. Humu JF watu ni welewa
 
Maskini yamungu. Jamaa anaona yani kashusha bonge la uzi. Ndo upeo wake lakini umegota hapo wala tusimlaumu
 
Kweli nafàa kuitwa mburula! Lakini unaweza kuelezea kwanini Slaa hayupo kazini Leo? Kwanini akae kimya muda wote? Nani msemaji Mkuu wa chama kwa sasa? Mashauriano na agenda zinajenfewa wapi? Chama chenye uniform kwanini mgombea uraisi hajawahi kuvaa sare? Kesho itabidi mbowe amlazimishe avae sare otherwise atawaangusha! Nini Sera ya chama chako? Kuichoka ccm haiwezi kuwa Sera!
 
Katika hali isiyo ya kawaida chama kipya cha siasa kimeanzishwa nchini!
Ukawa imekuwa na sura mpya kabisa katika utawala wake! Ni mzee mzima mbowe anaongoza jahazi na mkwewe! Kama anavyolaumiwa kikwete kupora madaraka, mbowe naye amekuwa akiamua mambo mwenyewe ktk chama! Ubaya wake chama kimeanza kuonesha taswira ya kiukanda zaidi! Zile sura semaji za chama hazisikiki na wageni wengi hawakufuata taratibu na katiba ya chama! Wengi wamedandia treni kwa mbele na kuindoa wenyeji akiwemo katibu Mkuu!
Kwa kuonesha hali ya udhaifu wa juu, wageni hao hawataki hata kuvaa magwanda, hawanadi Sera za chama kama alivyo Lowasa yeye Sera zake za ccm hazijsbadilika! Kama nazo na kwa tamaa ya pesa kwa wazee wa kimangi, jamaa wamekubali kucompromise kwa tamaa ya fedha!
Nahofia kuona taifa letu likiuzwa!
Najua hao ambao hawajatokea mikoani kwao hawajafanana agenda so hawana nafasi ktk mazungumzo! Yawezekana hata team ya kampeni ni ile ya ccm! Team Lowasa naona ndio inayotamba kuliko team ukawa!
Yawezekana hata hao tunaojiuliza wapo wapi wanaona aibu tu kutoka ila wanajua hali si shwari chama ni! Yawezekana wanaomba ccm ishinde ili wamshitaki wenye NGO za chadema na nccr!
Twajua kuwa ndoa ya cuf na nld zitakufa SAA yeyote kwa kuwa wao walitumika tu kuamsha hamasa!

Huu ni ukweli mchungu na uki refer posts zangu za wiki 2 sasa nimewaonya kuwa Chadema maslahi imeshashika hatamu .. Chadema asilia iliyoongozwa kwa misingi na maadili na nahodha wetu Dr Slaa imefutika. Sasa wanajiita Ukawa lakini haihusu katiba mpya wala nini. Ni uchu wa madaraka na tamaa ya pesa pekee inayotawala.
Hata wakitubeza vipi ukweli hubaki ilivyo.
 
Kweli nafàa kuitwa mburula! Lakini unaweza kuelezea kwanini Slaa hayupo kazini Leo? Kwanini akae kimya muda wote? Nani msemaji Mkuu wa chama kwa sasa? Mashauriano na agenda zinajenfewa wapi? Chama chenye uniform kwanini mgombea uraisi hajawahi kuvaa sare? Kesho itabidi mbowe amlazimishe avae sare otherwise atawaangusha! Nini Sera ya chama chako? Kuichoka ccm haiwezi kuwa Sera!

Sijawai kumuona baba taifa mwa nyerere akiwa ndani ya gamba.
 
Hivi watu wakiwa viongz wa chama ni lazima waonekane kwenye tv au kuudhuria mikutano mbalimbali?....kuna mambo mengi sana ya kufanya
wote wakiwa huko nani atapanga na kufuatilia vitu vingine.....dnt be stupid
 
Huu ni ukweli mchungu na uki refer posts zangu za wiki 2 sasa nimewaonya kuwa Chadema maslahi imeshashika hatamu .. Chadema asilia iliyoongozwa kwa misingi na maadili na nahodha wetu Dr Slaa imefutika. Sasa wanajiita Ukawa lakini haihusu katiba mpya wala nini. Ni uchu wa madaraka na tamaa ya pesa pekee inayotawala.
Hata wakitubeza vipi ukweli hubaki ilivyo.

hakuna namna tunaweza kuwasaidieni, tulipokuwa tukiipa kura ccm ilipoulizwa inapatia wapi kura ikajibu eti tuna mapenzi nayo!!!

ubaya wa ccm ni kampeni tosha ya kuiondoa madarakani.
 
povu linamtoka, zero gram brain. naona unalopoka tu, usichanganyikiwe sanduku la kura ndo bado.
 
Katika hali isiyo ya kawaida chama kipya cha siasa kimeanzishwa nchini!

Ukawa imekuwa na sura mpya kabisa katika utawala wake! Ni mzee mzima mbowe anaongoza jahazi na mkwewe! Kama anavyolaumiwa kikwete kupora madaraka, mbowe naye amekuwa akiamua mambo mwenyewe ktk chama!

Ubaya wake chama kimeanza kuonesha taswira ya kiukanda zaidi! Zile sura semaji za chama hazisikiki na wageni wengi hawakufuata taratibu na katiba ya chama! Wengi wamedandia treni kwa mbele na kuindoa wenyeji akiwemo katibu Mkuu!

Kwa kuonesha hali ya udhaifu wa juu, wageni hao hawataki hata kuvaa magwanda, hawanadi Sera za chama kama alivyo Lowasa yeye Sera zake za ccm hazijsbadilika! Kama nazo na kwa tamaa ya pesa kwa wazee wa kimangi, jamaa wamekubali kucompromise kwa tamaa ya fedha!

Nahofia kuona taifa letu likiuzwa!
Najua hao ambao hawajatokea mikoani kwao hawajafanana agenda so hawana nafasi ktk mazungumzo! Yawezekana hata team ya kampeni ni ile ya ccm! Team Lowasa naona ndio inayotamba kuliko team ukawa!

Yawezekana hata hao tunaojiuliza wapo wapi wanaona aibu tu kutoka ila wanajua hali si shwari chama ni! Yawezekana wanaomba ccm ishinde ili wamshitaki wenye NGO za chadema na nccr!

Twajua kuwa ndoa ya cuf na nld zitakufa SAA yeyote kwa kuwa wao walitumika tu kuamsha hamasa!

Kamaa akiuuza nchi si wanunuaji watanzania vile vile
 
ushawahi kumuona kofi olomide amevaa sare na wacheza show wake?basi ndio sawa na ukawa edo ndio kofi hao wengine wacheza show wake hawezi kuvaa sare nao
 
Kwanza nimwelimishe huyu ambaye hajui ukwa ni nn. Siyo chama Bali ni munganiko kama jubilee wa Kenya alafu ukawa siyo soko au ccm kila mtu aongee at once upo utaratibu wa kuongea sio kama nape akijisikia kuongea anaonge tuuu kama yupo kikoo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom