Je, UKAWA kufufukia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,777
141,647
Ni muda mrefu sasa ule muungano wa vyama vya siasa uliomsimamisha mzee Lowassa apambane na Dr Magufuli mwaka 2015 umekuwa kimya.

Je, tutegemee kuiona UKAWA ile tunayoifahamu ikishiriki tena chaguzi zinazokuja punde?....au Chadema hawana haja ya mashirikiano tena?!!

Tunakukumbuka mgonjwa UKAWA.
Maendeleo hayana vyama!
 
Ukawa zilipendwa, kwanza muasisi wake ni lipumber alipokua anasusia katiba mpya, ametufanya tukose katiba huyu miyeyusho, pia alitumwa kuvuruga cuf, na kwa sasa anatumika na masisiemu kwenye uchaguzi wowote, maana wapinzani wakisusia yeye anaenda, so kwa sasa hakuna ukawa na badala yake kuna muungano Wa vyama vyote kasoro cha lipumba, hadi rungwe yupo, lakini ukawa rungwe hayupo wala zitto hayupo, ukawa iende na lipumber wake huko sisiemu😇
 
Wenye chadema wakiamua kushirikiana na Lipumba mtashangilia tu, hata mlipoletewa Wema Sepetu mlipiga vigelegele.
 
Back
Top Bottom