Je, uhuru wa bunge hauishii pale Rais wa JMT anapoweza kulivunja na kuitisha uchaguzi upya?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,615
141,439
Niko hapa napitia vifungu mbalimbali vya katiba na hasa nikitafakari namna ambavyo mbunge anaweza kuvuka mipaka ya nchi yetu na kwenda kuinanga serikali ughaibuni.

Nimejiuliza, je huo si uhuru wa bunge katika kushauri na kukosoa?
Mmmh lakini kila uhuru una mipaka ndio nimeona hii kitu kuwa Rais wa JMT anaweza kuvunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya.

Naendelea kutafakari........!

Maendeleo hayana vyama na si lelemama!
 
Back
Top Bottom