Je, Udini nani wa kuukomesha mtiririko wa udini unaoanza kuibuka ndani ya Watanzania?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Tusijidanganye kwamba hakuna udini unaoanza kuibuka baina ya Watanzania,
Tusiwaone viongozi wetu saa nyingine wanaudhuria misiba ya wadini kwao tofauti, au wanafuturisha huku wakiwa dini tofauti, mkadhani bado taifa limesimama imara kama inavyosemwa

Kwa sasa hata taasisi na forums kama JF wanaogopa hata kukemea hili usishangae hata uzi wa kukemea udini kama huu unafutwa,

Nchi imeacha mambo haya yakatrend kwa kasi,

Udini upo up upo
Kuna watu hapa ikionekana anayefanya jambo fulani ni dini tofauti na yao wanatumia nguvu kubwa kupotosha, sasa hii ndo ujenzi wa Taifa imara?

Tuungane kukemea Udini kwa pamoja
 
Tusijidanganye kwamba hakuna udini unaoanza kuibuka baina ya Watanzania,
Tusiwaone viongozi wetu saa nyingine wanaudhuria misiba ya wadini kwao tofauti, au wanafuturisha huku wakiwa dini tofauti, mkadhani bado taifa limesimama imara kama inavyosemwa,

MKUU unaongelea huu utapeli wa makanisani na msikitini

Kama udini ndio huo, Mimi naunga mkono hoja acha uendelee ni moja kati ya series za episode zinazotufurahisha

Mungine mchungaji amekutwa na bapa la konyagi

Mungine anakata mauno na kusambaza clip yake mwwnyewe

Mungine sheikh wa mjini anakula watu tigo

Huu udini bora uendelee unatufanya tufurahie maisha

Ila kama udini ule wa kwenda kujilipua Allepo, Raqqa na Mosul mimi naupinga haufai kabisa ni hatari kwa watoto wetu

Kama udini ule wa kuwatenga maskini wakati wa maziko kisa zaka na ndoa, Halafu kuwazika matajiri wenye wake wengi, Mimi naupinga kabisa
 
Hahaha hahaha jamaa umenichekesha
 
Udini ulianza awamu ya NNE, wazee wetu kaanzia mkapa kurudi nyuma walikuwa waangalifu sana

Angalia awamu ya NNE waislam walivyokuwa wanavamia makanisa, angalia suala la kuchinja lilivyokua linashughulikiwa
 
Tunajisahihishaje hapa?
 
Vyote naonanaona vibaya
 
Tuanze na udhehebu kwanza

Ndani ya Dini kunasintofahamu nyingi sana
Kila mtu anajifanya mjuaji kwenye dhehebu lake
 
Tusijidanganye kwamba hakuna udini unaoanza kuibuka baina ya Watanzania,
Tusiwaone viongozi wetu saa nyingine wanaudhuria misiba ya wadini kwao tofauti, au wanafuturisha huku wakiwa dini tofauti, mkadhani bado taifa limesimama imara kama inavyosemwa,
Kwa sasa hata taasisi na forums kama JF wanaogopa hata kukemea hili usishangae hata uzi wa kukemea udini kama huu unafutwa,

Nchi imeacha mambo haya yakatrend kwa kasi,

Udini upo up upo
Kuna watu hapa ikionekana anayefanya jambo fulani ni dini tofauti na yao wanatumia nguvu kubwa kupotosha, sasa hii ndo ujenzi wa Taifa imara?

Tuungane kukemea Udini kwa pamoja

Udini Tanzania upo, na vinara wa udini bila kulemba ni ndugu zetu wafuasi wa mhamed

Ni wadini tangu kabla ya uhuru, baada ya uhuru, na hadi hivi leo
 
Wanajiona Kama special group
 
MKUU unaongelea huu utapeli wa makanisani na msikitini

Kama udini ndio huo, Mimi naunga mkono hoja acha uendelee ni moja kati ya series za episode zinazotufurahisha

Mungine mchungaji amekutwa na bapa la konyagi

Mungine anakata mauno na kusambaza clip yake mwwnyewe

Mungine sheikh wa mjini anakula watu tigo

Huu udini bora uendelee unatufanya tufurahie maisha

Ila kama udini ule wa kwenda kujilipua Allepo, Raqqa na Mosul mimi naupinga haufai kabisa ni hatari kwa watoto wetu

Kama udini ule wa kuwatenga maskini wakati wa maziko kisa zaka na ndoa, Halafu kuwazika matajiri wenye wake wengi, Mimi naupinga kabisa
Ina maana huelewi maana ya udini na utapeli?
 
Kuna dini moja inapenda sana kubebwa na serikali. Hata viongozi wao wameji-attach na serikali. Huwezi kuwatofautisha na wanalumumba kwa kutetea maovu ya serikali ya CCM
 
Udini ulianza awamu ya NNE, wazee wetu kaanzia mkapa kurudi nyuma walikuwa waangalifu sana

Angalia awamu ya NNE waislam walivyokuwa wanavamia makanisa, angalia suala la kuchinja lilivyokua linashughulikiwa

Awamu ya nne mkuu ulishamiri tu, ila siku zote upo. Waislamu wanapo ona nchi inaongozwa na muislamu mwenzao huzidisha fujo, vurugu, uchochezi, chuki, madai ya ajabu ajabu....hata kipindi cha Mwinyi hali ilikua kama hivyo
 
Back
Top Bottom